Zanzibar 2020 Namba 26: Mwanamke wa tatu, Fatma Kombo Masoud achukua fomu ya kuwania Urais Zanzibar kupitia CCM

Sasa si unaona hapo sultanate of Zanzibar.Hivyo ndivyo ilivyo.Sio wewe unavyotaka kutuaminisha hivyo.Halafu tupe uthibitisho kuonesha Dola ya Zanzibar ilikuwa ina nguvu duniani au labda hata ilishawahi shikilia biashara yoyote ukanda huu tofauti na biashara ya utumwa.Show us!
Kwani unaposoma palipoandiakwa Sultan of Zanzibar unafahamu nini,?!na unaposoma palipoandiakwa Zanzibar Empire unafahamu nini!?

Kulikuwa na msemo unaosema "Ngoma ikilia Zanzibar husikika Afrika nzima"...uthibitisho kuwa Dola ya Zanzibar ilikuwa na nguvu Duniani,ingia Google usome kuhusu Zanzibar na watu wake

Zanzibar ilikuwa sehemu ya Biashara Kama unavyoiona Dubai Sasa,kila Kitu kilikuwa ruksa,kuanzia biashara za Utumwa,pembe za ndovu,nk

Tangu Waafrika tumeichukua Zanzibar 1964, Zanzibar inadidimia kiutamaduni,Kiuchumi,Kimazingira,Kielimu,Kimaadili,nk

Zanzibar ni mfano mzuri kwamba Waafrika hatuwezi kujitawala,hatuwezi kujiongoza,na wewe ni mfano mzuri kuwa Waafrika Akili zao zimeganda,we are semi human hatujatimia
 
Ni hilo limefanywa makusudi ili ionekane znz ni inferior territory mbele ya mkoloni mweusi. Msione kuwa mambo hayabadilili. Kutatokea vuguvugu kubwa sana la kudai Zanzibar nationalism and history will tell. Tunaumia tukiona kuwa ukoloni huu unavyodumaza development kule kwetu. we lost our country, culture, history, identity na mengionetel.

Naililia znz
ila yakhe huu muuogano nyie ndo mwafaidi sana, yaani mwenye kidogo anaungana na mwenye kingi halafu nyote muwe sawa?!.
hebu ona wazenji mlivyojazana huku bara kufanya maisha mngebaki wote kule visiwani hali yenu ingekuwaje???.
na hapo mnapata haki ya kumiliki ardhi huku bara tofauti na mbara akija visiwani znz
 
Kwani unaposoma palipoandiakwa Sultan of Zanzibar unafahamu nini,?!na unaposoma palipoandiakwa Zanzibar Empire unafahamu nini!?

Kulikuwa na msemo unaosema "Ngoma ikilia Zanzibar husikika Afrika nzima"...uthibitisho kuwa Dola ya Zanzibar ilikuwa na nguvu Duniani,ingia Google usome kuhusu Zanzibar na watu wake

Zanzibar ilikuwa sehemu ya Biashara Kama unavyoiona Dubai Sasa,kila Kitu kilikuwa ruksa,kuanzia biashara za Utumwa,pembe za ndovu,nk

Tangu Waafrika tumeichukua Zanzibar 1964, Zanzibar inadidimia kiutamaduni,Kiuchumi,Kimazingira,Kielimu,Kimaadili,nk

Zanzibar ni mfano mzuri kwamba Waafrika hatuwezi kujitawala,hatuwezi kujiongoza,na wewe ni mfano mzuri kuwa Waafrika Akili zao zimeganda,we are semi human hatujatimia
Napoteza muda wangu tu hapa,uwe na siku njema!
 
ila yakhe huu muuogano nyie ndo mwafaidi sana, yaani mwenye kidogo anaungana na mwenye kingi halafu nyote muwe sawa?!.
hebu ona wazenji mlivyojazana huku bara kufanya maisha mngebaki wote kule visiwani hali yenu ingekuwaje???.
na hapo mnapata haki ya kumiliki ardhi huku bara tofauti na mbara akija visiwani znz
Hawa wanaopiga kelele hivi wapo bara! Na hata muungano ukifa hawawezi kurudi,labda kwa nguvu!
 
Anayewaza kuwa Tanzania 🇹🇿 kuna demokrasia ni JPM,pekee wengine wote mnaota ndoto za alinacha, waacheni wa zenji wafurahie demokrasia ya nchi yetu
 
Back
Top Bottom