Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,289
- 9,748
All the best Mwinyi huyu jamaa mpole sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HUSEYN ANAFAA. HANA NENOMbunge wa Kwahani na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa katika serikali ya awamu ya Tano Dkt. Hussein Mwinyi achukua fomu kwa lengo la kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar katika ofisi za chama cha Mapinduzi (CCM) Kisiwandui mjini Unguja.
Ni kweli fimu fomu zinachukuliwa Kisiwandui jirani kabisa na Michenzani na Mkunazini lakini wanaochagua nani awe mgombea kupitia CCM hukaa Dodoma, CCM Zanzibar haichagui mgombea badala yake inachuja tu wagombea wa kuwapeleka Dodoma. Hofu kubwa ya CCM ni kutopata mgombea mwenye msimamo mkali dhidi ya Muungano.Maamuzi ya mgombea Zanzibar hufanyika kisiwandui na jina kupelekwa Dodoma sio kinyume chake ndio maana fomu zinachukuliwa na kurudishwa kisiwandui sio Dodoma
Kama sio huyu basi ni Ally Karume.Huyu ndio Rais wa Zbar
Kumbe ni choice yako...Choice yangu mimi ni Prof Mbarawa.
Huyu baba ni jembe jmani. Wazanzibar wamshawishi huyu baba achukue form. Anaju kazi na pia hajikwezi.. Yuko simple and humble... Ataipeleka Zanzibar mbali..
Akili inahita booster ili uelewe. Unadhani serikali imevunjwa ee? Soma katiba vizuri.Waziri wa ulinzi na JKT wa nchi gani?
Tanzania hakuna uwaziri bila ubunge, na bunge limevunjwa jana.
Anaendelea huyu wa sasaMkuu naomba utujuze wa huku mwaka 2025
Meko keshampanga kitamboHuyu ndio Rais wa Zbar
Soma Katiba ya JMT vizuri uielewe.Waziri wa ulinzi na JKT wa nchi gani?
Tanzania hakuna uwaziri bila ubunge, na bunge limevunjwa jana.
Meko kawapa watoto wa dada zake vyeo,vipi dada hidaya unachukua fomu ya ubunge viti maalumuShiiiii ongea taratibu ? unamwongelea Mbowe na Joyce mukya mbunge viti maalumu kimafumbo? ASIKUSIKIE MBOWE shauri yako
Umesahau alikuwa waziri wa afya tena kwa wakati mgumu sana katika sekta hiyo.Kama Mwinyi Angekua amewekwa wizara ngumu zinazohitaji mtu afanye kazi haswa akazimudu ningeamini anaweza Sana.
Wizara ya Mambo ya ndani
Wizara ya ujenzi
Wizara ya ardhi
Sasa Ukiwa waziri Wa wizara ya ulinzi na JKT haiwagusi wananchi moja kwa moja kwenye Maisha yao ya kila Siku.
Hata ukimuuliza mwananchi kule chini anaweza asimjue hata Huyo waziri na asijue hata anafanya kazi gani.
Ni nani alipewa Hiyo wizara ikamshinda?
Nafikiri aliwekwa makusudi kwenye wizara ambayo haiwezi kumletea madhara na wananchi haiwasumbui Sana.
Hivi we mama si ulikuwaga chadema vile? au nakufananisha?Natumaini atashinda
Lakini shemeji yetu kwa ukimya wako utaweza kweli?!
WaZenji wapole utakuwa sawa
Go for it!
support you mingi mingi!
Hizi hadithi tumeanza kuzisikia toka mwaka 1995 na hakuna chochote kimetokea.Hussein Mwinyi hawezi kuwa Rais wa Zanzibar kwa muhula huu. Ni wakati mgumu kuliko vipindi vyote kugombania Urais wa Zanzibar. He is too soft and diplomatic. Tume ikilazimisha kumtangaza wanaetaka basi itakuwa ni Zimbabwe kwa Tanganyika. Tukumbuke wakati ule tulikuwa na Kikwete aliyekuwa akicheza ngoma za mabeberu. Sasa hivi wanatafuta sababu tu watumwagie manyanga!
angalau ni mtu anaeleweka