Huu ujinga October 2025 baada ya uchaguzi!Rais wa Namibia, makamu wa Rais na mawaziri wa wizara nyeti zikiwemo za fedha, mambo ya nje, mambo ya ndani, usalama na uhamiaji wote ni wanawake!
View attachment 3280440
Watuulize,kilichotupata!Watalia na kusaga meno.! Na hakuna wa kuwaokoa.
ni muhimu zaidi maslahi mapana ya maendeleo ya wanamibia wote yakazingatiwa, haya mengine yabaki kua dhana tu zisizo na athari zozote kisiasa, kiuchumi na kijamii,Rais wa Namibia, makamu wa Rais na mawaziri wa wizara nyeti zikiwemo za fedha, mambo ya nje, mambo ya ndani, usalama na uhamiaji wote ni wanawake!
View attachment 3280440

Uzuri mbona amepitwa hata na Emma?Huyo Esperance Luvindao waziri wa afya kazaliwa 1994, ni pisi kali... ni medical doctor..
Huenda wao wanajitambuaTaifa la Namibia, sasa liandae bajeti ya mabango,picha nchi nzima, sherehe, semina,safari za nje, ufisadi,wizi na mengine mengi.
Hawa wa kile kitabu cha dini alikuwa anajitambua?Huenda wao wanajitambua
Mbna anaonekana mtu mzima sanaHuyo Esperance Luvindao waziri wa afya kazaliwa 1994, ni pisi kali... ni medical doctor..
Sidhani..Uzuri mbona amepitwa hata na Emma?