Namibia yawa taifa la kwanza Afrika kuwa na Serikali ya mfumo jike

Namibia yawa taifa la kwanza Afrika kuwa na Serikali ya mfumo jike

Ni ajabu sana, US na miaka yake zaidi ya 100 ya uhuru hawataki kusikia habari ya kuongozwa na mwanamke. Sisi tunashinikizwa kwa kigezo cha demokrasia.
Si kwamba hawataki, huyo mwanamke wa kuongoza ile serikali yupo?

Likija suala la maamuzi ya kiongozi, wanaangalia efficiency na effectiveness, sio jinsia because ni jinsia tu hell no
 
sijasema hivyo, bali nilichomaaanisha ni kwamba Christian Nations zinamaendeleo kulinganisha na non-Christian nations, hata baadhi ya nchi za kiislamu au budhism ambazo zimekubali kufwata western Christian way of life zina maendeleo pia mfano qatar, uae, Japan, Korea, china & co. …
Nini hiki
 
Back
Top Bottom