Hii style ya haki sawa imeletwa Ili kuinyong'onyeza Africa.Rais wa Namibia, makamu wa Rais na mawaziri wa wizara nyeti zikiwemo za fedha, mambo ya nje, mambo ya ndani, usalama na uhamiaji wote ni wanawake!
View attachment 3280440
Hii style ya haki sawa imeletwa Ili kuinyong'onyeza Africa.Rais wa Namibia, makamu wa Rais na mawaziri wa wizara nyeti zikiwemo za fedha, mambo ya nje, mambo ya ndani, usalama na uhamiaji wote ni wanawake!
View attachment 3280440
Yep. Kwa malalamiko yako na namna ulivyounda neno mfumo jike, kuna tatizo mwanangu vinginevyo uwe hujui ulichoandika.Kuna mahali popote nimesema kuna tatizo??
Asikudanganye mtu kuna virtual male leadership nyuma ya pazia, tazama vizuri tena kwa makini nyuso za hao wwanaumeRais wa Namibia, makamu wa Rais na mawaziri wa wizara nyeti zikiwemo za fedha, mambo ya nje, mambo ya ndani, usalama na uhamiaji wote ni wanawake!
View attachment 3280440
Huku kwetu kupata tu uwaziri kwa miaka hiyo bila kujali jinsia ni shida. Kujitahidi sana unakuwa chawa pro by maxHuyo Esperance Luvindao waziri wa afya kazaliwa 1994, ni pisi kali... ni medical doctor..
AngewanyorosaaAngepiga pumbu hao Top layers wote
Malizia wewe kwa niaba 😀😀. Mwacheni LuciaMalizia tu mkuu, ntakusaidia kutumikia bann😀😀
Wee naogopa ban, amalizie tu aliyeanzisha ..😀😀Malizia wewe kwa niaba 😀😀. Mwacheni Lucia
Watalia lini? Na Morocco wameweka PM mwanamke kama Mkuu wa Serikali,unasemaje?Watalia na kusaga meno.! Na hakuna wa kuwaokoa.
Naomba namba ya waziri wa information and communication technologyRais wa Namibia, makamu wa Rais na mawaziri wa wizara nyeti zikiwemo za fedha, mambo ya nje, mambo ya ndani, usalama na uhamiaji wote ni wanawake!
View attachment 3280440
Namibia ina nini cha ziada!?Equatorial guinea, Cameroon,Gabon, Uganda, wanaotawaliwa na Marais wa kiume waliongangania madarakani kwa zaidi ya miaka 30 wana nini Cha kuwazidi Namibia?
Hili baraza halina mambo mengi, huku kwetu tuna wizara kibaooRais wa Namibia, makamu wa Rais na mawaziri wa wizara nyeti zikiwemo za fedha, mambo ya nje, mambo ya ndani, usalama na uhamiaji wote ni wanawake!
View attachment 3280440