Namibia yawa taifa la kwanza Afrika kuwa na Serikali ya mfumo jike

Namibia yawa taifa la kwanza Afrika kuwa na Serikali ya mfumo jike

Attachments

  • IMG_5828.jpeg
    IMG_5828.jpeg
    687.4 KB · Views: 20
Itakuwa wanaume wamepiga sana hela za miradi
Wanaona labda wanawake wataziokoa we never know

Labda tumuulize Mama anaweza kutuambia sababu maana alikuwa huko
 
Kwahiyo unataka utambie nchi yenye waislamu wengi haiendelei? Burundi na DRC zina wakristo wengi na ziko hoi bila kuisahau Zambia na Zimbabwe.

sijasema hivyo, bali nilichomaaanisha ni kwamba Christian Nations zinamaendeleo kulinganisha na non-Christian nations, hata baadhi ya nchi za kiislamu au budhism ambazo zimekubali kufwata western Christian way of life zina maendeleo pia mfano qatar, uae, Japan, Korea, china & co. …
 
Back
Top Bottom