Namibia yawa taifa la kwanza Afrika kuwa na Serikali ya mfumo jike

Namibia yawa taifa la kwanza Afrika kuwa na Serikali ya mfumo jike

Watuulize,kilichotupata!
Namibia's economy is characterized as a higher-middle-income country with a GDP per capita of around $79,431 in 2022, while Tanzania's economy is also a developing economy with a GDP per capita of around $1,270 in 2025.

Acha kufananisha vitu, sisi tuna matatizo yetu ya kujitakia. Wenzetu wako mbali na sidhani kwa raslimali kama wanatukaribia.

Kama wanawake wao wako smart na wanafanya mambo ya maana na kufuata sheria na misingi iliyowekwa basi wako sawa.
 
Viongozi wanaume ndio wameiangusha Afrika kwani ndio wanaongoza kwa utawala wa hovyo unaoendana na ufisadi na matokeo yake tunaona wenyewe Afrika ilivyo.
 
Viongozi wanaume ndio wameiangusha Afrika kwani ndio wanaongoza kwa utawala wa hovyo unaoendana na ufisadi na matokeo yake tunaona wenyewe Afrika ilivyo.
Mshaurini raisi Samia akishinda uraisi apunguze baraza la mawaziri.

Raisi wa Namibia amekata wizara kutoka 21 hadi 14 ili kupunguza matumizi makubwa ya fedha za walipa kodi na misaada ya Maendeleo.
 
wamejitahidi,safisana kikubwa wasijisahau wakaanza kugongewa ofisini badala ya kutimiza matakwa ya walioamua wawe chini ya wanawake kwa box la kura
 
Nyie Hamjiulizi Marekani na Maguvu yake na Kila kitu haitoi nafasi kwa Wanawake!!!! Haya mambo ya usawa jinsia sio uhalisia na ukikuta mtu yuko obssessed na jinsia yake ni hatari sana kama.huyu wa Namibia yeye anaongelea Gender kila saa sio uwezo wa mtu
 
Huyo ni mutoto ya Kikongo (wazazi wake wametokea Congo DRC) ni pisi khasa lakini imetulia kwa kichwa.

Kwa uteuzi wake astahiki kabisa kawiva kwenye hiyo sekta ya afya.
Yuko vizuri amekmilika idara zote, mrembo na kichwani zimo,
 
Tatizo liko wapi kama wameamua wenye nchi yao? Je hii inatupunguzia nini? Heri wao wanaongozwa na mfumo jike kuliko mfumo chawa.
Kuna mahali popote nimesema kuna tatizo??
 
Back
Top Bottom