Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,134
- 4,124
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rangi nyekundu ndie mm na kosa nlilofanya ni kupandisha kete ya juu kulia ili kuwahi kingi. Ile kete sio kosa,kosa ni kete ya kushoto kuto kulisha bure au kubadilishana. Drafti liliisha hapo hapo. View attachment 1990353
Rangi nyekundu ndie mm na kosa nlilofanya ni kupandisha kete ya juu kulia ili kuwahi kingi. Ile kete sio kosa,kosa ni kete ya kushoto kuto kulisha bure au kubadilishana. Drafti liliisha hapo hapo. View attachment 1990353
Unahusiana na draft au mchezo mpyaKatika vitu nimeshindwa elewa ni aina za michezo mimi huwa nasukuma kete tu, na nimesikia kuna mchezo mpya unaitwa kete tatu
Draft yani kama mfumo kwenye mpira 442Unahusiana na draft au mchezo mpya
Sometimes napumzika na kuburudika, kila mtu ana namna ya kujipa raha, wengine disco,pombe,wanawake,bangi n.k.Huna kaz edx
Bas sawa mkuu..NimekuelewaSometimes napumzika na kuburudika, kila mtu ana namna ya kujipa raha, wengine disco,pombe,wanawake,bangi n.k.
Nalipata wapiDalmax anafungika yupo Mkulima huko online nenda kwenye draught Tanzania Online wajuba wanacheza live huko na mkulima au mtu yeyote hata wewe unaweza ku log in na kuanza kukiputa..wahuni wanatembea Pasat,Nuguza au Mbuzi kavimba za hatari mno na kata meja mara mbili mimi hiyo ndio Pombe yangu baada ya pilika pilika nyingi...
Nimeenda kuna warembo tu, Tambaza namtafuta amekimbia katikati ya mchezoachana na ujinga ujinga huo, ingia playok.com/en/tzdraughts ukutane na nguli kina sisi ( multi player online) uchezee kichapo
Alianza hapaAlikupiga force king halafu kakuzunguka zote!!? Hesabu za mbali sana anapiga.
Nimejiandikisha kwa Starlick nahitaji wa kumfunga au akijitaidi apate sare ya kumpaDalmax anafungika yupo Mkulima huko online nenda kwenye draught Tanzania Online wajuba wanacheza live huko na mkulima au mtu yeyote hata wewe unaweza ku log in na kuanza kukiputa..wahuni wanatembea Pasat,Nuguza au Mbuzi kavimba za hatari mno na kata meja mara mbili mimi hiyo ndio Pombe yangu baada ya pilika pilika nyingi...
nipate wasaa nichungulie uko nikukamate pimbi wewe, michezo 3 zuia sare
Id gani umetumia, mm natumia jina starlick.nipate wasaa nichungulie uko nikukamate pimbi wewe, michezo 3 zuia sare