Namna dalmax alivyofinish hili draft nimejiona kama ngumbaru

Frustration

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
3,134
Reaction score
4,124
Rangi nyekundu ndie mm na kosa nlilofanya ni kupandisha kete ya juu kulia ili kuwahi kingi. Ile kete sio kosa,kosa ni kete ya kushoto kuto kulisha bure au kubadilishana. Drafti liliisha hapo hapo.
UPDATED VIDEO.

Dalmax Checkers_2021-10-29-07-03-44.png
 
Attachments

  • Dalmax Checkers_2021-10-29-07-05-55.mp4
    4.3 MB
Rangi nyekundu ndie mm na kosa nlilofanya ni kupandisha kete ya juu kulia ili kuwahi kingi. Ile kete sio kosa,kosa ni kete ya kushoto kuto kulisha bure au kubadilishana. Drafti liliisha hapo hapo. View attachment 1990353

Dalmax anafungika yupo Mkulima huko online nenda kwenye draught Tanzania Online wajuba wanacheza live huko na mkulima au mtu yeyote hata wewe unaweza ku log in na kuanza kukiputa..wahuni wanatembea Pasat,Nuguza au Mbuzi kavimba za hatari mno na kata meja mara mbili mimi hiyo ndio Pombe yangu baada ya pilika pilika nyingi...
 
Nalipata wapi
 
Alikupiga force king halafu kakuzunguka zote!!? Hesabu za mbali sana anapiga.
 
Dalmax anafungika yupo Mkulima huko online nenda kwenye draught Tanzania Online wajuba wanacheza live huko na mkulima au mtu yeyote hata wewe unaweza ku log in na kuanza kukiputa..wahuni wanatembea Pasat,Nuguza au Mbuzi kavimba za hatari mno na kata meja mara mbili mimi hiyo ndio Pombe yangu baada ya pilika pilika nyingi...
Nimejiandikisha kwa Starlick nahitaji wa kumfunga au akijitaidi apate sare ya kumpa
 
Back
Top Bottom