Namna dalmax alivyofinish hili draft nimejiona kama ngumbaru

Namna dalmax alivyofinish hili draft nimejiona kama ngumbaru

Ndiyo hivyo. Ukisogea mbele anakupa kete tatu hadi kingi. Kisha anaingia. Unakula kete mbili kwa kingi na yeye anakuzunguka ila kingi yake inakufa. Anakuwahi kuingia kingi, goli.
Yeah
 
Rangi nyekundu ndie mm na kosa nlilofanya ni kupandisha kete ya juu kulia ili kuwahi kingi. Ile kete sio kosa,kosa ni kete ya kushoto kuto kulisha bure au kubadilishana. Drafti liliisha hapo hapo.

View attachment 1990353
Dah! Hii dalmax checkers nimeitafuta mno kwenye App Store ya iOS sijaiona, sijui litakuwa na jina lingine. Turkish rules naikubali mno!
 
Ndiyo hivyo. Ukisogea mbele anakupa kete tatu hadi kingi. Kisha anaingia. Unakula kete mbili kwa kingi na yeye anakuzunguka ila kingi yake inakufa. Anakuwahi kuingia kingi, goli.
Mbona naona itakuwa draw
 
Mbona naona itakuwa draw
Haina draw angalia hapa

Dalmax Checkers_2021-10-29-07-27-07.png

Dalmax Checkers_2021-10-29-07-27-53.png
 
Back
Top Bottom