Namna gani smart naweza kudate na mke wa mtu na mumewe asishtukie?

Plus dharau kwa mumewe.
Mwanamke akikudharau kipimo anachepuka nje
 
Hivi nyie mnadhani huyu jamaa ataachana na huyo mke wa mtu kisa vitisho vyenu hivi..? Hebu kuweni serious kidogo bana..
Kutembea na mke wa mtu ni sawa na kucheza moto, tumemshauri aache mara moja kabla hayajamfika ya kuzibuliwa mtaro mbele ya huyo malaya.

Hakuna kitisho hapa na akiwa serious kupokea ushauri wa kumkimbia huyo mwanamke atapona hakika.
 
Kutembea na mke wa mtu ni sawa na kucheza moto, tumemshauri aache mara moja kabla hayajamfika ya kuzibuliwa mtaro mbele ya huyo malaya.

Hakuna kitisho hapa na akiwa serious kupokea ushauri wa kumkimbia huyo mwanamke atapona hakika.
Mkuu,

Kama MFALME DAUDI alishindwa kumsikiliza NABII ELIYA kuhusu kumla mke wa URIA, we unadhani huyu mleta mada ni nani mpaka ashaurike kwenye hilo suala?🀣🀣

Nasisitiza tumshauri jamaa cha kufanya ili asikamatwe, hilo ndio la msingi na linalowezekana.
 
Plus dharau kwa mumewe.
Mwanamke akikudharau kipimo anachepuka nje
Ndugu yangu,
Wanawake wa sasa sio kama wa zamani.

Kuna wanawake wana heshima zote kwa mume, wana kila sifa ya kuitwa wake bora. Wanafanya majukumu yao yote ya nyumbani kwa ustadi mkubwa sana. Ukiwaona huwezi kamwe kuamini kama ni wachepukaji waliobobea!
 
Mko poa humu watu wa mapenzi?
Nina mahusiano na mke wa mtu.
So nawezaje kuwa smart muda wote ili mumewe asimstukie kwa lolote?
Muwe na jioni njema
We endelea kuchezea moto, ukipelekewa matakoni kwako usiseme hatujakuonya!
Utajuwa mpili pili na maua yake...
 
Mko poa humu watu wa mapenzi?
Nina mahusiano na mke wa mtu.
So nawezaje kuwa smart muda wote ili mumewe asimstukie kwa lolote?
Muwe na jioni njema.
Usisahau na kupaka mafuta kila siku akikufuma asikupasue huko nyuma
 
Kwakifupi unachofanya siyo cha kistaarabu kitakurudia nawewe utachapiwa, what goes around comes around
Ni kweli sio cha kistaarabu, ila hata usipochapa bado unaweza kuchapiwa vizuri tuu. Unataka kusema hao wote wanaochapiwa sasa nao waliwahi kuwachapia wengine hapo kabla?
 
Mume wake akitoka tu we nenda na fundi tengeneza njia underground inayotokea chumbani chini ya kitanda chake
 
Nakubaliana na wewe ata uyu ninaekula mwaka wa tatu sasa mumewe akija juwa anaweza kufa kwa stroke,ananipenda balaa,eti siku genye zimemkamata afu mumewe anamwita dady yupo nyumban ananitaka mim,akatunga safari anaenda sijui wapi ili aje mi nikamwambia sio vyema kausha
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…