Namna gani smart naweza kudate na mke wa mtu na mumewe asishtukie?

Kutembea na mke wa mtu ni sawa na kucheza moto, tumemshauri aache mara moja kabla hayajamfika ya kuzibuliwa mtaro mbele ya huyo malaya.

Hakuna kitisho hapa na akiwa serious kupokea ushauri wa kumkimbia huyo mwanamke atapona hakika.
Mkuu iko hivi,

Kutembea na mke wa mtu ni WIZI kama wizi mwingine.

Hivi leo hii umfuate mtu anaeiba mali za umma, au mali za kampuni au serikalini, umuambie acha wizi la sivyo ukikamatwa utafungwa etc. Unadhani ataacha? Never!! It doesnt work like that..

Cha maana ni kushauriana jinsi gani ya kufanya usikamatwe manake madhara yatatokana na kukamatwa. Lakini kumtisha eti ooh ukikamatwa utafanywa hivi na vile HAISAIDII..!
 
Nina mfano hai hapa juzi tu nimeshuhudia. Sikuamini yaani maana huyo mama ukimuona wanavyopendana na mumewe na watoto wao. Perfect family yaani kumbe mama (39 na bonge la Supa dupa yutong) anaburuzwa na dogo mmoja wa miaka 30 tu...Ndoa hizi mhhh!
 
Kama MFALME DAUDI alishindwa kumsikiliza NABII ELIYA kuhusu kumla mke wa URIA
Ni wapi pameandikwa hiyo habari ya nabii Eliya kutosikilizwa na mfalme Daudi?
Daudi na Eliya hawakuwahi kuishi pamoja enzi zao.

So tafuta uongo mwingine
Nasisitiza tumshauri jamaa cha kufanya ili asikamatwe, hilo ndio la msingi na linalowezekana.
Wewe umemshauri nini?
 
Mimi wakwangu tumefikia mahali tunaondoka makwetu jumapili asubuhi tunaaga tunaenda kanisani, tunabeba na vitabu vya nyimbo nk haoo tunakutana loji.

Tukifika tunafungua kwa sala, tunaungama dhambi zetu zote (ya uzinzi tunaiweka kwenye kundi la zile dhambi tulizozisahau) then tunaendelea na mambo yetu.

Na kwakweli Mungu amekua muaminifu sana kwetu na tunamshukuru manake unaenda mwaka karibu wa 6 huu tuko pamoja penzi letu linazidi kushamiri 🙏
 
Una mawazo Ya kitoto kabisa, ukikua utaacha kuwaza kitoto.
 
Nina mfano hai hapa juzi tu nimeshuhudia. Sikuamini yaani maana huyo mama ukimuona wanavyopendana na mumewe na watoto wao. Perfect family yaani kumbe mama (39 na bonge la Supa dupa yutong) anaburuzwa na dogo mmoja wa miaka 30 tu...Ndoa hizi mhhh!
Hao ndio wake zetu wa siku hizi mkuu. Na wanawake wa aina hiyo ni wengi sana siku hizi na wanaliwa vizuri miaka nenda rudi ila ni ngumu sanaa kukamatwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…