Namna Mange Kimambi anavyoweza kuletwa nchini kujibu tuhuma zake

Mnadhani marekani ni sawa na matako yenu, kuyaliza mbwata kila mjisikiapo.
 
1. Extradition Act, Cap. 368 (Tanzania): Kosa lazima liwe la jinai pia katika nchi anakoishi mtuhumiwa (dual criminality).
Sheria zetu Haziruhusu uraia pacha. Kuwa uraia pacha ni kufuata uraia wa Tanzania. Sasa kama Ina semwa huyu ni raia wa US....analetwaje kushtakiwa huku..?..

Akiweza kuletwa basi serikali itumie precedence hiyo... Kuwaleta nchini na kuwashitaki waliotorosha vidudu vya korona kutoka maabala na kisha kufika nchi na kuua watu. Wasipo Fanya hivyo, itaonekana walikuwa na maslahi na watoroshaji!!!!
 
Unakabiliana vipi na wale mahayawani waliokuwa wanachoma vituo vya Polisi, Ofisi za Mahakama, TRA?? Unafanyaje na magenge ya wachoma moto mabasi na vituo vya Mwendokasi?

Una bunduki halafu unataka kubembeleza watu wanachoma vituo vya mafuta, wanaiba mali za watu kwenye maduka?

Je unajuwa kuwa walijaribu kutaka kuchoma kituo cha kupozea umeme cha TANESCO Ubungo??

Acheni akili za kindezi, risasi za moto ndiyo zimeokoa nchi isiteketee
 
Unakabiliana vipi na wale mahayawani waliokuwa wanachoma vituo vya Polisi, Ofisi za Mahakama, TRA?? Unafanyaje na magenge ya wachoma moto mabasi na vituo vya Mwendokasi?
Master Tindwa na Sheikh Sharif majini walichoma gas station ngapi, na ofisi ngapi na wahusika wa genge lao walikua wangapi?
Una bunduki halafu unataka kubembeleza watu wanachoma vituo vya mafuta, wanaiba mali za watu kwenye maduka?
Kwahiyo sheria za Tanzania zinasema ukishakua na bunduki mtu akionyesha nia ya uovu unafyatua tu??
Je unajuwa kuwa walijaribu kutaka kuchoma kituo cha kupozea umeme cha TANESCO Ubungo??
Tunaomba ushahidi wa video kwa watu walioenda kuchoma kituo cha umeme cha TANESCO ninaamini pale kuna CCTV , sisi tunazo video za polisi wakipiga risasi watu wasio na silaha basi wekeni na hii ya madai watu walitaka kwenda kuchoma eneo la TANESCO.
Acheni akili za kindezi, risasi za moto ndiyo zimeokoa nchi isiteketee
Akili za kindezi mnazo nyie mlioua watu wasiokua na silaha.
 
Polisi wamefundishwa kuwakamata kwa mbinu za medani na kuwapeleka mahakamani wahalifu wote,
 
It goes without say kuwa without intervention ya Polisi na JWTZ pengine hapa ungekuwa haupo kuandika hizi pumba. Yale magenge yalikuwa reckless they burn anything, they steal anything and walikuwa unstoppable except kwa risasi za moto tu
 

Father​

Mithali 27:22 SRUVDC​


Hata ukimtwanga mpumbavu kwa mchi kinuni pamoja na ngano; Upumbavu wake hautamtoka.
Mithali 26:27 Achimbaye shimo atatumbukia mwenyewe; Naye abingirishaye jiwe litamrudia.
 
Polisi wamefundishwa kuwakamata kwa mbinu za medani na kuwapeleka mahakamani wahalifu wote,
Ni mbinu gani za medani utazotumia dhidi ya yale magenge ya kuchoma ma petrol station??
 
Fedha za Abdul zinawatoa watu Akili ,Fedha Chafu zimetembelea watu waliokuwa Great thinkers saa ni Great Sinkers! Inasikitisha Sana! Kesi inafunguliwa ya uhujumu uchumi bila mtuhumiwa kukamatwa!! FUtuhiiiiii ndiyo ni FUTUHI.

Mwambie Abdul na AG kwamba mange ni raia wa marekani ,hawawezi kumleta raia wao huku wakijua ataenda kuuliwa ,halafu huo uhujumu uchumi gani aliofanya? App katengeneza yeye na yupo USA watu wanalipia na bank yake account mmeifreeze ambayo ilikuwa na 100millions Tsh na yeye akiwafungulia kesi je?
 
Mange atajiua kama mkwawa ambaye hakutaka kushikwa na wazungu hayuko tayari kukabidhiwa kwa manyonyo
 
Kadai hela yako kwenye shule ya sheria uliyosomea.
Mjibu kwa hoja yeye ametoa hoja sasa wewe kama unapinga hoja yake toa na wewe vifungu vya sheria tofauti na hivyo. Huo ndio uungwana ili wanaJF wajifunze pia kutoka kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…