Namna Mange Kimambi anavyoweza kuletwa nchini kujibu tuhuma zake

Kibatala wa bei za jioni.

Hivi huwa mnaandika haya mkiwa mmetoka kupuu bila kuchamba?
Mnamjua Kibatala tu ndiyo Wakili nguli? Lol nenda kaangalie record za Mahakama ni kesi ngapi ameshindwa
 
Mnamjua Kibatala tu ndiyo Wakili nguli? Lol nenda kaangalie record za Mahakama ni kesi ngapi ameshindwa
Huwezi kuwa serious kwa kutazama record kwenye mahakama hizi za simu moja. Ongelea mengine ila sio record kutoka kwenye mahakama hizi.
 
Recep Tayyip Erdogan mwenzenu alitengeneza hata jaribio fake la Mapinduzi ili kumpata mpinzani wake anayeishi USA lakini mpaka leo hii hajafanikiwa unafikiri Turkey na Zanzibar ni yupi kati yao anaeweza kuwashawishi waamerika (zingatia Wanaomuhitaji mange kwa sasa ni wazanzibari si watanganyika)
 
Umesema jaribio feki la mapinduzi, basi ume justify kwa nini alishindwa kumpata yule mpinzani wake ambaye ni mmlliki wa shule za Feza pia
 
Umesema jaribio feki la mapinduzi, basi ume justify kwa nini alishindwa kumpata yule mpinzani wake ambaye ni mmlliki wa shule za Feza pia
Sasa kama waliweza kufahamu kuwa Erdogan amejitengenezea Mapinduzi fake we unadhani ninyi wazanzibari mnaweza kuwadanganya ya kuwa Mange ni gaidi au ni mhujumu uchumi
 
Pamoja na kuwa sheria hiyo ipo, lakini tatizo na kikwazo kitakachofanya dhamira na nia yenu ovu ishindwe ni kimoja tu👇

Ni kwanza, makosa au kosa lenyewe ni la kubumba au kutengenezwa kwenye maabara ya kutungia kesi za uongo za kina Ramadhani Kingai, Faustine Mafwele na Jumanne Muliro wakisaidiwa na kina Nassoro Katuga na DPP!

Hamna kitu hapo, hamtafanikiwa kwa lolote. Tupo hapa, tukutane mwakani muda kama huu🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️
 
Fanyeni kazi wanaume mpate kande maisha yaendelee hii unasheria wa vichochoroni hawasaidii zaidi ya kujaza tope kwnye servers za.melo hapa! Dume kubwaa jeusi lenye misuli lipo busy kufuatilia kidada chenye cause yake na kina maisha yake kibongobongo unayaota hadi utazikwa

Wapo watu wameajiriwa na wanalipwa na malkia kwa kazi hiyo get life men
 

Kwa hiyo makosa ya Mange ni yapi yanayoweza mfanya akaletwa kwa pilato bongo?
 
Hamna kitu hapo, just wishful
Kwa taarifa yako, Mange hawezi kuletwa au kukamatwa. Hana kosa lolote, Mmejaribu Mexican Cartel mmeshindwa sasa mnajaribu ufala wenu mwingine......Haiwezekani, mna serikali ya kijinga sana, inaongozwa na form IV failures na watu ambao elimu zao zinafanana na za Madrassa>
 
Subiri kwanza twende taratibu umesema Marekani na Tanzania wana Mutual Legal assistance treaty (usaidizi kwa kisheria) iyo ni kitu tifauti kabisa na Extradition ili mtu aweze kuletwa vinatakiwa kuwepo vyote..

Jielekeze vizuri kwenye hicho unachotaka kueleza
 
Kwa vile unauza apples mitaa ya Tembisa Joburg unajiona ume panchi sana
Unaisikia Tembisa kwenye radio sio utaweza kufanya biashara Tembisa au Mamelodi nipo kwenye Usafirishaji Arusha, Tanzania huku nafata Scania XT au G460 na R zake vichwa tu ndio nabeba namshukuru Mungu Vichwa nilivyofata vishafika Nakonde nasubiri kodi tu itoke vilipiwe viende....
 
Na wewe kwa nini uingie na kusoma na kujaza sever pia? Mental health is real
 
Kwa hiyo makosa ya Mange ni yapi yanayoweza mfanya akaletwa kwa pilato bongo?
Mashtaka tayari yapo Kisutu!! Jaribu kutafuta uzi unaohusisha mashtaka hayo
 
Kwani wewe ni Hakimu wa Kisutu? Usijipe umaarufu usiokuwa nao
 
Extradition siyo treaty bali ni legislation ila exchange ya watuhumiwa inategemea mahusiano ya nchi na nchi
 
Kumbe tandiboi kwa sasa. Hongera kwa kubadili kazi.
 
-Kasome Kitu kinaitwa RECIPROCITY
- kingine if accused anaweza kuwa persecuted
 
-Kasome Kitu kinaitwa RECIPROCITY
- kingine if accused anaweza kuwa persecuted
Reciprocity in law is the principle where a country grants legal rights or benefits to foreigners only if that country's own citizens receive similar treatment abroad, acting as a condition for applying foreign laws or recognizing foreign judgments, ensuring mutual respect and equivalent treatment between nations, especially in international private law and treaties. It's a foundational concept for cooperation, allowing states to extend legal protections (like property rights or access to courts) on a conditional, "you scratch my back, I'll scratch yours" basis, preventing discriminatory application of laws.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…