Namna mbalimbali za jinsi ya kutumia rice cooker

aaahhh...mkaka mtanashati ukitoka nje majirani wanajua kabisa sahizi mzee umepiga kitu cha harage😀 kimya kimya ndio mwake
Hapa napitia mahindi mabichi shambani naenda kuchemsha na presha coocker kitu dakika 20 naepua natafuna mahindi.
 
Umeme ghali kivipi wakati unit ni 298
Hii ni ya umeme. Ipo ya kupikia kwenye gesi. Kumbuka umeme wa tanzania ni wa ghali sana. Na hua aliivishi vizuri maharage labda uloweke kwanza maharage kwa masaa kadhaa kabla ya kuyapika
 
Majirani wanahusika vipi kwenye bili yake ya umeme?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli mkuu,mi mwenyewe nimechemshia nyungu muda huu. Nataka nijifukize
 
Mkuu ushawahi kuchemsha magimbi/ndizi kwenye electric kettle? [emoji38][emoji38]

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Duh,we ni nyoko 🤭 mimi hiyo siafanya na uzee huu...labda zamani sana shule tulizosoma boarding,kuchemsha mahindi ya walimu na heater darini
 
Dah...mbona nyungu inapika vizuri tu[emoji2960]
 
Reactions: amu
Unachemshia hata maji ya kuoga ???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kipindi hicho umeme ndio kila kitu, kettle zilipata tabu [emoji38][emoji38][emoji38]

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Duh,we ni nyoko [emoji2960] mimi hiyo siafanya na uzee huu...labda zamani sana shule tulizosoma boarding,kuchemsha mahindi ya walimu na heater darini
Kabla ya kuja kettle za umeme, heater watu tumechemsha maji ya kuoga kwa umeme na vipisi vya nondo [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Sawa
 
Kama rice cooker yako ina ichokitu unaweza fanya steaming unaweka ata kuku apo juu au nyama ina ivaa ayo nimatumizi sahihi pia ya hyoo kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…