Namna mshikaji wangu anavyoishi ukweni kwa furaha na amani tele

Yes, kuwa chawa sio tatizo Mkuu
 
Vijana baada ya kusoma uzi👇👇

Wakiwahi dukani kuweka credit za wadogo zao shemeji na kununua vitumbua for breakfast ya baba mkwe
😂😂😂😂😂 nchi hii vichaa wengi sana
 
Ingekuwa kwa mwanamke ni sahihi kabisaa tena ndo wa kuitwa mke mwema, ila kwa mwanaume haifai japo tusimkandie kaona atoke vipi sasa, kabahatisha na familia ya binti ni waelewa kiaina
Jinsia zote si ni sawa au? lasivyo kampeni ife😂😂
 
I like your final paragraph sometimes swallow your pride ili mambo mengine yaende
 
Hapo kwenye kumconnect na kazi kigamboni ndo pazuri,akishapata kazi atafute chumba ahame huu ujinga wa kukaa ukweni kisa mafogo ni utumwa sana.
 

Usidanganye vijana aisee, hakuna pesa ya bure. Boss akitoa pesa yake sna ujue kuna siku atataka kukula kimasihala (kufukua mtaro)
 
Usidanganye vijana aisee, hakuna pesa ya bure. Boss akitoa pesa yake sna ujue kuna siku atataka kukula kimasihala (kufukua mtaro)
Dah!,unawaza mitaro tu

Kuna watu wamefanikiwa kimaisha kwa kuwa karibu na watu waliofanikiwa

Mtu aliefanikiwa ana mambo mengi sana ya kufanya na ambayo hawez kuyafanya yote hvyo ukiwa karibu nae huwez kosa cha kufanya,mfano kuna kwenda bank kupeleka pesa na kulipia baadhi ya bills mbalimbali hz zote hufanywa na machawa
 

Kuna utofauti wa kuwa mfanyakazi au kumsaidia boss na uchawa mkuu. Ukitambua hilo utaelewa vizuri kuwa vijana wengi siku hizi wanadhalilishwa ki maumbile sababu ya kupenda vitu vya dezo na kusifia sifia ma boss.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Shida yote hiyo nini jamani
 
Ndiomaana jamaa anasema ulifeli kabisa tumia hii mbinu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mama Samia sasa kawatambua machawa rasmi, ni sekta mpya mjini. Mnasemaje mliomua mna diss diss😆😆
 
Inafanana na mtoto wa sister...yaan hivo hivo tu kapata mke wa kishua na hana mia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…