Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Broker fuatilia hii thread mbona imejielezea hayo maswali yakoOkay broker gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Broker fuatilia hii thread mbona imejielezea hayo maswali yakoOkay broker gani
Since the onset of day trading back in 1867 with ticker tapes, there have existed millions if not billions of day traders.[1]Hivi kwanini Tanzania hatuna watu kama hawa? Carl, Auckman, Soros?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hakuna system inayowezesha watu wa aina hii kukua kwenye mazingira ya nchi za kiafrika let alone nchi zenye misingi ya kijamaa.Hivi kwanini Tanzania hatuna watu kama hawa? Carl, Auckman, Soros?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Short sellers wanafanya research ya hatari.Kwanza access ya markets hamna.
Bongo utanunua CDS kutokea wapi? Hata US stock tu au Stock options huwezi nunua utaishia kupata CFDs tu.
Mambo kama analysis na speculation kila mtu mwenye knowledge na ambae yuko informed anaweza fanya regardless ni mtanzania au mzungu.
Mfano issue ya $SVB nilikua informed na jamaa fln wiki kabla, cha kushangaza nacheki charts nikaona inapanda, jamaa akanitumia screenshot kwamba ka-short zaidi na akasema itablow soon. Five days later ngoma chali, the thing ni knowledge, information na access ya market
Actually you can buy Actual US Stocks, brokers anapata commission unaponunua na kuuza.Ukiachana na initial capital bado kununua haiwezekani kama ww ni mtanzania unless utumie mtu kama proxy wako anaekaa nchi inayoruhusiwa
Nmeshajaribu hadi FlowBank ya uswizi ukiachilia mbali brokers kadhaa kutoka Cyprus lkn wananambia siruhusiwi sababu TZ ni blacklisted.
CFDs nzr tu kwa hedging ili kula points za hz flactuations endapo unajua trade itapay within a day or two lkn kwa long term trader itakuumiza sana na hakuna faida nzr utapata.
Ukiwa na access ya kununua both stock na stock options, af uko informed na una knowledge ya hiz mambo basi utajiri upo wazi kabisa
Kama ni mtanzania unaweza fungua account na Interractive Brokers.NerdWallet's Best Online Stock Brokers for Beginners of March 2023
- Fidelity
- E*TRADE
- Merrill Edge
- Interactive Brokers IBKR Lite
- J.P. Morgan Self-Directed Investing
- Vanguard
- TD Ameritrade
- Ally Invest
- Robinhood
- Firstrade
- Charles Schwab
Hawa hapo juu umeshajaribu wote. Ila pia Kuna habari nzuri jamaa wanakuja kufungua bank yao Kenya nadhani Ni meril lunch Kama sio jp Morgan so nadhani tutafanya ishu kubwa Ni skills and experience Basi. Usiwe unapendelea brokers ambao wako registered na Cyprus sijui wapi huko Kama Seychelles,Bahamas,nk Mana huko hawana very strict rules za ku regulate brokers wa investment stocks or wa cfd
How?Actually you can buy Actual US Stocks, brokers anapata commission unaponunua na kuuza.
Sawa na brokers wa DSE wanavyofanya.
And if you want stocks certificates delivered to you, they will do.
Na ndio Mana kila hustler lazima aiote USA the freedom,the land of opportunities. Mwenyewe hapa nikipata hela ya kununua apartment USA hata ya two bedrooms nasepa asubuhi before rooster crowHakuna system inayowezesha watu wa aina hii kukua kwenye mazingira ya nchi za kiafrika let alone nchi zenye misingi ya kijamaa.
It's treason. You'll be branded as a person who wanna take down the economy.