Namna Mwekezaji Bill Ackman alivyogeuza $27m kuwa $2.6b ndani ya mwezi mmoja (almost 10,000% ROI)

Namna Mwekezaji Bill Ackman alivyogeuza $27m kuwa $2.6b ndani ya mwezi mmoja (almost 10,000% ROI)

Hivi kwanini Tanzania hatuna watu kama hawa? Carl, Auckman, Soros?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Since the onset of day trading back in 1867 with ticker tapes, there have existed millions if not billions of day traders.[1]

While we do not know many of these traders, a few of them rose and made history. Some made billions, while others made and lost billions. Some shaped the world of trading as we know it today and others greatly influenced the economies of nations.

Watu wameanza kitambo mno sir huku bado tukiishi mapangoni. Internet tumepata juzi tu na yenyewe wameikaza Bei imechangamkaje. Cheki watu walianza kitambo mno. Mfano Livermore akazaliwa 1875 akiwa na 14 yrs tayari yupo kwa stockbroker anafanya kazi as a quotation board boy. Akiwa around 20yrs akawa anayo $10000 hela take from cfd Trading mpaka maza yake akashangaa
 
Hivi kwanini Tanzania hatuna watu kama hawa? Carl, Auckman, Soros?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hakuna system inayowezesha watu wa aina hii kukua kwenye mazingira ya nchi za kiafrika let alone nchi zenye misingi ya kijamaa.

It's treason. You'll be branded as a person who wanna take down the economy.
 
Kwanza access ya markets hamna.

Bongo utanunua CDS kutokea wapi? Hata US stock tu au Stock options huwezi nunua utaishia kupata CFDs tu.

Mambo kama analysis na speculation kila mtu mwenye knowledge na ambae yuko informed anaweza fanya regardless ni mtanzania au mzungu.

Mfano issue ya $SVB nilikua informed na jamaa fln wiki kabla, cha kushangaza nacheki charts nikaona inapanda, jamaa akanitumia screenshot kwamba ka-short zaidi na akasema itablow soon. Five days later ngoma chali, the thing ni knowledge, information na access ya market
Short sellers wanafanya research ya hatari.

Wana access information ambazo mtu wa kawaida itachukua muda kuzipata.

Kuna watu wanajiita Hindenburg Research. Mwezi uliopita waliiyumbisha Adan, last Week wamewayumbusha Square ya Jack Dorsey.

Hao ndo Shortsellers maarufu ukiwajumlisha Elliot Management.
 
Ukiachana na initial capital bado kununua haiwezekani kama ww ni mtanzania unless utumie mtu kama proxy wako anaekaa nchi inayoruhusiwa

Nmeshajaribu hadi FlowBank ya uswizi ukiachilia mbali brokers kadhaa kutoka Cyprus lkn wananambia siruhusiwi sababu TZ ni blacklisted.

CFDs nzr tu kwa hedging ili kula points za hz flactuations endapo unajua trade itapay within a day or two lkn kwa long term trader itakuumiza sana na hakuna faida nzr utapata.

Ukiwa na access ya kununua both stock na stock options, af uko informed na una knowledge ya hiz mambo basi utajiri upo wazi kabisa
Actually you can buy Actual US Stocks, brokers anapata commission unaponunua na kuuza.

Sawa na brokers wa DSE wanavyofanya.

And if you want stocks certificates delivered to you, they will do.
 
NerdWallet's Best Online Stock Brokers for Beginners of March 2023​

Kama ni mtanzania unaweza fungua account na Interractive Brokers.

Hao wengine huwezi.
 
Actually you can buy Actual US Stocks, brokers anapata commission unaponunua na kuuza.

Sawa na brokers wa DSE wanavyofanya.

And if you want stocks certificates delivered to you, they will do.
How?
 
Hakuna system inayowezesha watu wa aina hii kukua kwenye mazingira ya nchi za kiafrika let alone nchi zenye misingi ya kijamaa.

It's treason. You'll be branded as a person who wanna take down the economy.
Na ndio Mana kila hustler lazima aiote USA the freedom,the land of opportunities. Mwenyewe hapa nikipata hela ya kununua apartment USA hata ya two bedrooms nasepa asubuhi before rooster crow
 
Back
Top Bottom