TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Hivi kwa akili za kawaida,unategemea panya amuombee mazuri mkulima wa mahindi ambaye ameamua kufuga paka kudhibiti panya wasile mahindi yake stoo!? Haiwezekani hata kidogo!Ukiona watu wawili watano wanakuombea mabaya inabidi ujiangalie sana tena sana namna unavyoishi na jamii.
Wewe jiandae kwa lolote lile usijipe matumaini kuwa 50 kwa 50 lolote linaweza kutokeaAtajitokeza tu usikute kapiga siku akiibuka ni kama kim jong un wa north Korea hivi kuwakata kibembele front, haiwezekani Raisi aumwe apelekwe Kenya ambao hatupatani nao kabisa. Kuna propaganda hapa
Yes I'm ready for anything and I don't care that's much, ila kushabikia maradhi au kifo kwa mtu mwingine ni Tabia ya kishamba wote njia mojaWewe jiandae kwa lolote lile usijipe matumaini kuwa 50 kwa 50 lolote linaweza kutokea
Hatusemi kwamba awe kwenye TV masaa 24 kama yupo kwenye Bib Brother Show!Mkuu binadamu hatuna jema akijitokeza kukata utepe sehemu tunalalamika kwamba hiyo si hadhi yake angemwachia mwenyekiti wa kijiji kufungua. Lipi jema.kwetu?
Tz yenye watu milioni 60 kuchukiwa na genge la wahuni wasiozidi laki 1 ni kawaida tuUkiona watu wawili watano wanakuombea mabaya inabidi ujiangalie sana tena sana namna unavyoishi na jamii.
Mambo ya msingi huwa wanayakumbuka ikifika September ya kila mwaka wa uchaguzi!Mnyika na lisu Wana Mambo ya msingi ya kufanya ka chama Cha upinzani kuliko kuhangaika na cheap politics na ushabiki maandazi kuombea wengine mabaya mbona ya msingi hawasemi hao.
Mengine tu bado naona mwaongozwa na hisia kwenye Mambo ya msingi.
Kuishi vizuri na watu hakukupi guarantee ya kupendwa na kila mtu. ..imagine kila anaekuchukia angelkua na uwezo wa kutimiza takwa lake jupitia kauli unafikir dunia ingelkua na wakazi ?Lakini kwanini watu wakuombea mabaya? Tujifunze kuishi vizuri na watu vyeo ni vya kupita lakini ubinadamu utabaki.
Kwanini awamu zote hawajahi kuzushiwa?Kuishi vizuri na watu hakukupi guarantee ya kupendwa na kila mtu. ..imagine kila anaekuchukia angelkua na uwezo wa kutimiza takwa lake jupitia kauli unafikir dunia ingelkua na wakazi ?
Kwa sababu ya huu ugonjwa wa corona katika hii awamu,hata hivyo kutozushiwa vifo katika hizo awamu nyengine haina maana ya kwamba hao viongozi wa hizo awamu walikuwa hawachukiwi na hawa watu wanaozusha kifo katika awamu hii.Kwanini awamu zote hawajahi kuzushiwa?
Basi kuna tatizo kubwa mkuu inabidi tuondoe hizi chukiKwa sababu ya huu ugonjwa wa corona katika hii awamu,hata hivyo kutozushiwa vifo katika hizo awamu nyengine haina maana ya kwamba hao viongozi wa hizo awamu walikuwa hawachukiwi na hawa watu wanaozusha kifo katika awamu hii.
Uko sahihi kabisaMambo ya msingi huwa wanayakumbuka ikifika September ya kila mwaka wa uchaguzi!
Sasa hivi akili zao zipo tumboni
Nani sasa hao wachukiaji au wanaochukiwa?Basi kuna tatizo kubwa mkuu inabidi tuondoe hizi chuki
UsinichosheNani sasa hao wachukiaji au wanaochukiwa?
Kalale kabisa upumzike.Usinichoshe
Yesu kristu,aliombewa na wangapi mabaya katika kipindi chake,au mitume wengine wa Mwenyezi Mungu. Waomba mabaya Walikuwa ni wengi mpaka wakaandaa michoro ya kuwaangamiza baada ya maombi yao kutojibu.Ukiona watu wawili watano wanakuombea mabaya inabidi ujiangalie sana tena sana namna unavyoishi na jamii.
Awamu zingine hazikuwah kua smooth pia ...issues zliibuka klingana na mfumo wa uongoz uliotumikaKwanini awamu zote hawajahi kuzushiwa?