Namna Vyombo vya Habari vya Kimataifa vilivyoingia mtegoni kueneza uvumi wa kifo cha Kim Jong Un

Namna Vyombo vya Habari vya Kimataifa vilivyoingia mtegoni kueneza uvumi wa kifo cha Kim Jong Un

Ukiona watu wawili watano wanakuombea mabaya inabidi ujiangalie sana tena sana namna unavyoishi na jamii.
Hivi kwa akili za kawaida,unategemea panya amuombee mazuri mkulima wa mahindi ambaye ameamua kufuga paka kudhibiti panya wasile mahindi yake stoo!? Haiwezekani hata kidogo!
 
Atajitokeza tu usikute kapiga siku akiibuka ni kama kim jong un wa north Korea hivi kuwakata kibembele front, haiwezekani Raisi aumwe apelekwe Kenya ambao hatupatani nao kabisa. Kuna propaganda hapa
Wewe jiandae kwa lolote lile usijipe matumaini kuwa 50 kwa 50 lolote linaweza kutokea
 
Kama nawaona vile reporters wa CNN walivyokua wanashupaza shingo zako kutangaza taarifa uongo...
 
Wewe jiandae kwa lolote lile usijipe matumaini kuwa 50 kwa 50 lolote linaweza kutokea
Yes I'm ready for anything and I don't care that's much, ila kushabikia maradhi au kifo kwa mtu mwingine ni Tabia ya kishamba wote njia moja
 
Mkuu binadamu hatuna jema akijitokeza kukata utepe sehemu tunalalamika kwamba hiyo si hadhi yake angemwachia mwenyekiti wa kijiji kufungua. Lipi jema.kwetu?
Hatusemi kwamba awe kwenye TV masaa 24 kama yupo kwenye Bib Brother Show!

Rais anaweza kuwa na balance kiasi kwamba hajitokezi kukata utepe kila siku, na hapotei kabisa bila kuonekana kwa wiki mbili mfululizo.

Watu werevu huenda kwa balance.

Rais kutoonekana kwa wiki mbili mfululizo ni suala la national security.

Kwa maana rais anaweza kuwa kafariki, wananchi hamuambiwi, na wanaoficha wanatumia sahihi yake kuiba hela BOT na kuzitoa nje ya nchi.
/
Sasa hapo huoni kwamba rais kuonekana angalau mara moja kwa wiki ni kitu muhimu?
 
Ukiona watu wawili watano wanakuombea mabaya inabidi ujiangalie sana tena sana namna unavyoishi na jamii.
Tz yenye watu milioni 60 kuchukiwa na genge la wahuni wasiozidi laki 1 ni kawaida tu
 
Mnyika na lisu Wana Mambo ya msingi ya kufanya ka chama Cha upinzani kuliko kuhangaika na cheap politics na ushabiki maandazi kuombea wengine mabaya mbona ya msingi hawasemi hao.
Mengine tu bado naona mwaongozwa na hisia kwenye Mambo ya msingi.
Mambo ya msingi huwa wanayakumbuka ikifika September ya kila mwaka wa uchaguzi!

Sasa hivi akili zao zipo tumboni
 
Lakini kwanini watu wakuombea mabaya? Tujifunze kuishi vizuri na watu vyeo ni vya kupita lakini ubinadamu utabaki.
Kuishi vizuri na watu hakukupi guarantee ya kupendwa na kila mtu. ..imagine kila anaekuchukia angelkua na uwezo wa kutimiza takwa lake jupitia kauli unafikir dunia ingelkua na wakazi ?
 
Hiyo ndiyo ipo hivyo duniani kote au ni nadharia yako unataka ifanye kazi Tz?
 
Kwanini awamu zote hawajahi kuzushiwa?
Kwa sababu ya huu ugonjwa wa corona katika hii awamu,hata hivyo kutozushiwa vifo katika hizo awamu nyengine haina maana ya kwamba hao viongozi wa hizo awamu walikuwa hawachukiwi na hawa watu wanaozusha kifo katika awamu hii.
 
Basi kuna tatizo kubwa mkuu inabidi tuondoe hizi chuki
 
Ukiona watu wawili watano wanakuombea mabaya inabidi ujiangalie sana tena sana namna unavyoishi na jamii.
Yesu kristu,aliombewa na wangapi mabaya katika kipindi chake,au mitume wengine wa Mwenyezi Mungu. Waomba mabaya Walikuwa ni wengi mpaka wakaandaa michoro ya kuwaangamiza baada ya maombi yao kutojibu.
Ushindi wanauhesabia kwenye kifo wakati kifo kwa Mwenyezi Mungu si issue ndio maana akaruhusu waomba mabaya watimize kiu yao,lakini mpaka sasa mitume hao ndio wanaishi kwa yale waliotumwa kufanya na wanaheshimiwa ingawa hawapo kimwili.
 
Ule moto wa North Korea huwezi kulinganisha na utopolo wowote duniani ,wengine midoli tu yule Comandoo
 
Back
Top Bottom