TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Hivi kwa akili za kawaida,unategemea panya amuombee mazuri mkulima wa mahindi ambaye ameamua kufuga paka kudhibiti panya wasile mahindi yake stoo!? Haiwezekani hata kidogo!Ukiona watu wawili watano wanakuombea mabaya inabidi ujiangalie sana tena sana namna unavyoishi na jamii.