Namna wachezaji mpira wa nje wanavyomiliki Ardhi Tanzania

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
37,630
Reaction score
47,434
Tanzania ni nchi ya amani na kila mtu anaitamani.

Sasa hawa jamaa wanapokuja kucheza mpira hapa,

Maisha ya hapa yanawavutia mno.

Wamebuni mbinu ya kuzaa hapa.

Mali zao wanasajili kwa majina ya watoto wao.

Mfano mzuri yule jamaa aliyekuwepo kwa vyura na sasa yupo kwa waarabu.
 
Sio tu wanazaa hapa hata huko Ulaya wanafanya hivyo hivyo. Binadamu kashindwa kuonyesha namna ndoto ya RIP Martin Luther isivyo na maana.

Wale machotara wa timu za Ulaya ni matunda ya wachezaji wa kiafrika kuzaa kule miaka ile ya 2000 mwanzoni.

Musiala, Bellingham, Ndoye, Sane na wengine wengi tu wakati mimba zao zikiendelea kukua matumboni mwa mama zao wenyeji wa mataifa yao walikuwa na mawazo kama haya ya mleta mada, ya kutanguliza ubaguzi dhidi ya wageni lakini leo hii vijana wanatamba katika timu zao za taifa wazungu kinafiki wanashangilia magoli yao na kiwango chao cha mpira.
 
Tanzania ni nchi ya amani na kila mtu anaitamani.

Sasa hawa jamaa wanapokuja kucheza mpira hapa,

Maisha ya hapa yanawavutia mno.

Wamebuni mbinu ya kuzaa hapa.

Mali zao wanasajili kwa majina ya watoto wao.

Mfano mzuri yule jamaa aliyekuwepo kwa vyura na sasa yupo kwa waarabu.
Kama umiliki ni wa mtoto unamuonea wivu au ni nini? Yani hamtaki hata uwekezaji kidogo? Ardhi ni nini? Unataka huyo mtoto aende wapi kama kazaliwa hapa?
 
Tanzania ni nchi ya amani na kila mtu anaitamani.

Sasa hawa jamaa wanapokuja kucheza mpira hapa,

Maisha ya hapa yanawavutia mno.

Wamebuni mbinu ya kuzaa hapa.

Mali zao wanasajili kwa majina ya watoto wao.

Mfano mzuri yule jamaa aliyekuwepo kwa vyura na sasa yupo kwa waarabu.
Hoja yako hapa ni Nini? Kama hata timu za hapa huzijui majina. Hakuna timu imesajiliwa kwa jina la vyura Tanzania. Wewe ni mjinga tu bila shaka.
 
Tanzania ni nchi ya amani na kila mtu anaitamani.

Sasa hawa jamaa wanapokuja kucheza mpira hapa,

Maisha ya hapa yanawavutia mno.

Wamebuni mbinu ya kuzaa hapa.

Mali zao wanasajili kwa majina ya watoto wao.

Mfano mzuri yule jamaa aliyekuwepo kwa vyura na sasa yupo kwa waarabu.
Binadamu huwezi kumdhibiti kuzaa...
Walichukuliwa watumwa kwenda Misri kujenga pyramids, kule wakazaaa!
Wakachukuliwa kwenda Ulaya, Asia na Marekani kule nako wakazaa!
Binadamu ameagizwa kuzaa na kuzaliana!
Nawe ndugu mleta mada... Tii maagizo... Zaa pita hivi!
 
Tanzania ni nchi ya amani na kila mtu anaitamani.

Sasa hawa jamaa wanapokuja kucheza mpira hapa,

Maisha ya hapa yanawavutia mno.

Wamebuni mbinu ya kuzaa hapa.

Mali zao wanasajili kwa majina ya watoto wao.

Mfano mzuri yule jamaa aliyekuwepo kwa vyura na sasa yupo kwa waarabu.
Ukishakuwa ccm huna tofauti na mchawi.

Yani roho haikuumi bandari kupewa Waarabu ila unateseka Mtanzania akimuuzia mgeni ardhi yake anayoimiliki kihalali?

Wahindi wanamiliki viwanda vikubwa achilia mbali hizo plot za square meter 600.

Nina jamaa mbongo Marekani amenunuwa shamba, wewe uko dunia gani?

Nenda South Africa Wabongo kibao wanamiliki nyumba zao kisheria.

Ndio maana ccm mnapeana sumu mmejaa roho mbaya vifuani mwenu.

Ndikumana amezaa na Irene Uwoya na amekufa, yule mtoto atalelewa na ccm?

Sasa mimi namkatia shamba langu Aziz Ki ili uvimbe upasuke kabisa.
 
Kawaida tu mbona. Wakameruni wanaija ila si wanazaa na dada zetu so wananunua mali na kuwekeza kwa majina yao hakuna ubaya
 
ARDHI YENEYEWE SAA YOYOTE MWENYEWE AKIITAKA ANAJICHUKULIA BILA KUBISHANA, WACHA WACHUKUE TU
 
Unataka wasimiliki? Acha wamiliki tu maana sisi wazawa tutaishia kutupa mifuko ya rambo na foil za chipsi kama eneo liko wazi
 
Ukishakuwa ccm huna tofauti na mchawi.

Yani roho haikuumi bandari kupewa Waarabu ila unateseka Mtanzania akimuuzia mgeni ardhi yake anayoimiliki kihalali?

Wahindi wanamiliki viwanda vikubwa achilia mbali hizo plot za square meter 600.

Nina jamaa mbongo Marekani amenunuwa shamba, wewe uko dunia gani?

Nenda South Africa Wabongo kibao wanamiliki nyumba zao kisheria.

Ndio maana ccm mnapeana sumu mmejaa roho mbaya vifuani mwenu.

Ndikumana amezaa na Irene Uwoya na amekufa, yule mtoto atalelewa na ccm?

Sasa mimi namkatia shamba langu Aziz Ki ili uvimbe upasuke kabisa.

Kweli mzee Matola Aziz K lazima apate uwanja hapo wewe ni MTU muhimu na mwenye hekima za hali ya juu
 
Tanzania ni nchi ya amani na kila mtu anaitamani.

Sasa hawa jamaa wanapokuja kucheza mpira hapa,

Maisha ya hapa yanawavutia mno.

Wamebuni mbinu ya kuzaa hapa.

Mali zao wanasajili kwa majina ya watoto wao.

Mfano mzuri yule jamaa aliyekuwepo kwa vyura na sasa yupo kwa waarabu.
Hakuna ubaya, maana ardhi ipo hapa hapa, inatumiwa na watanzania. Sio wale wanaopeleka fedha nje.
 
Mimi sina wivu na wageni hata Dola ilipoamua kwamba utajiri wa nchi hii uruhusiwe Kwa watz wenye asili ya asia naona poa tu!

Ninachataka katiba na Sheria zibadilishwe ili Kila MTU awe na haki na hata akishika asiharibu kabisa!!

RIP Reginald Mengi, RIP rama wa kariakoo aliejipiga risasi mwenyewe kwa kuhisi kunyanyasika kibiashara na hujuma alizopitia!!

Sheria zinadilishwe utajiri hapa bongo uwe fair kwa wote na sio TU Raia wenye asili fulani pekee!!

Haiwezekani top 10 ya matajiri bongo karibu wote eti ni raia wenye asili ya asia kana kwamba wazawa wote ni wavivu!!

RIP Ali Mufruki mpiganaji na wazawa matajiri waliopoteza maisha yao (MIMI SIKURIDHIKA NA VIFO VYAO) Ni kama kule kenya wasomali ndio ma don.wazawa wanaandamana kana kwamba wao hawana akilia ya utafutaji!!

Naishia hapa!

Mawazo huru na nadharia zinazokuja kichwani na kuondoka!!
 
Back
Top Bottom