Mr the dragon
JF-Expert Member
- Apr 14, 2017
- 1,937
- 3,718
Dunia ni yetu sote. Haya mambo ya kugawana vipande ni ubinafsi tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kalala mayeleTanzania ni nchi ya amani na kila mtu anaitamani.
Sasa hawa jamaa wanapokuja kucheza mpira hapa,
Maisha ya hapa yanawavutia mno.
Wamebuni mbinu ya kuzaa hapa.
Mali zao wanasajili kwa majina ya watoto wao.
Mfano mzuri yule jamaa aliyekuwepo kwa vyura na sasa yupo kwa waarabu.
Leo hii unaweza kumfilisi kabisa Mo Dewji ukiwa na matarajio kwamba umemkomesha, mpe miaka mitano tu atakuwa tayari kesharudia utajiri ule ule wa awali, kwanini?.Mimi sina wivu na wageni hata Dola ilipoamua kwamba utajiri wa nchi hii uruhusiwe Kwa watz wenye asili ya asia naona poa tu!
Ninachataka katiba na Sheria zibadilishwe ili Kila MTU awe na haki na hata akishika asiharibu kabisa!!
RIP Reginald Mengi, RIP rama wa kariakoo aliejipiga risasi mwenyewe kwa kuhisi kunyanyasika kibiashara na hujuma alizopitia!!
Sheria zinadilishwe utajiri hapa bongo uwe fair kwa wote na sio TU Raia wenye asili fulani pekee!!
Haiwezekani top 10 ya matajiri bongo karibu wote eti ni raia wenye asili ya asia kana kwamba wazawa wote ni wavivu!!
RIP Ali Mufruki mpiganaji na wazawa matajiri waliopoteza maisha yao (MIMI SIKURIDHIKA NA VIFO VYAO) Ni kama kule kenya wasomali ndio ma don.wazawa wanaandamana kana kwamba wao hawana akilia ya utafutaji!!
Naishia hapa!
Mawazo huru na nadharia zinazokuja kichwani na kuondoka!!
We mkongoman acha kutuharibia nchi yetu.Leo hii unaweza kumfilisi kabisa Mo Dewji ukiwa na matarajio kwamba umemkomesha, mpe miaka mitano tu atakuwa tayari kesharudia utajiri ule ule wa awali, kwanini?.
Utajiri wa mtu upo kichwani mwake, na utajiri wake ni ubunifu anaokuwa nao.
Tupunguze haya mawazo ya kimaskini yenye kudhani kuwa wengine wanakuwa na mali ndio maana sisi ni maskini.
Umaskini wetu upo vichwani mwetu.
Tatizo lenu ni hili la kila siku, kutopenda kupokea maoni msiyokubaliana nayo.We mkongoman acha kutuharibia nchi yetu.
Umaskini wa akili ni yale mawazo kwamba mimi hali yangu ni mbaya kwa sababu kuna mwarabu na mhindi wanaoishi vizuri zaidi yangu.Ukishakuwa ccm huna tofauti na mchawi.
Yani roho haikuumi bandari kupewa Waarabu ila unateseka Mtanzania akimuuzia mgeni ardhi yake anayoimiliki kihalali?
Wahindi wanamiliki viwanda vikubwa achilia mbali hizo plot za square meter 600.
Nina jamaa mbongo Marekani amenunuwa shamba, wewe uko dunia gani?
Nenda South Africa Wabongo kibao wanamiliki nyumba zao kisheria.
Ndio maana ccm mnapeana sumu mmejaa roho mbaya vifuani mwenu.
Ndikumana amezaa na Irene Uwoya na amekufa, yule mtoto atalelewa na ccm?
Sasa mimi namkatia shamba langu Aziz Ki ili uvimbe upasuke kabisa.
Fuatilia nchi zote za kusini mwa jangwa la sahara uone top ten zao za matajiri ni kina nani utagundua ni tatizo la Afrika nzima.Mimi sina wivu na wageni hata Dola ilipoamua kwamba utajiri wa nchi hii uruhusiwe Kwa watz wenye asili ya asia naona poa tu!
Ninachataka katiba na Sheria zibadilishwe ili Kila MTU awe na haki na hata akishika asiharibu kabisa!!
RIP Reginald Mengi, RIP rama wa kariakoo aliejipiga risasi mwenyewe kwa kuhisi kunyanyasika kibiashara na hujuma alizopitia!!
Sheria zinadilishwe utajiri hapa bongo uwe fair kwa wote na sio TU Raia wenye asili fulani pekee!!
Haiwezekani top 10 ya matajiri bongo karibu wote eti ni raia wenye asili ya asia kana kwamba wazawa wote ni wavivu!!
RIP Ali Mufruki mpiganaji na wazawa matajiri waliopoteza maisha yao (MIMI SIKURIDHIKA NA VIFO VYAO) Ni kama kule kenya wasomali ndio ma don.wazawa wanaandamana kana kwamba wao hawana akilia ya utafutaji!!
Naishia hapa!
Mawazo huru na nadharia zinazokuja kichwani na kuondoka!!
Sasa si bora kutukuza hao wageni labda kutakuja toleo jipya la wenye akili kuliko hili la machawa wa uvccm lisilo jua kuhoji na kudadisi?Mara zote huwa tupo hivi.
Tunatukuza wageni.
Hata viongozi wetu wote wapo hivi kama wewe.
Acha ujinga, kama wamezaliwa hapa shida yako nini? wewe mwenyewe umezaliwa hapo by chance, acha roho mbayaMara zote huwa tupo hivi.
Tunatukuza wageni.
Hata viongozi wetu wote wapo hivi kama wewe.
Nilidhani huko upinzani kuna afadhali ila wale wale tu.Sasa si bora kutukuza hao wageni labda kutakuja toleo jipya la wenye akili kuliko hili la machawa wa uvccm lisilo jua kuhoji na kudadisi?
Yaani kwa kweli kizazi hiki chenu kilichoingia uccm vichwani mwao ni cha kufagia na kuleta akili mpya maana ni kama gonjwa baya la kuambukiza
Akili za kimaskini matatizo matupu. Tunadhani chanzo cha shida zetu ni watu wengine kumbe ni matatizo yetu mengi yanapojumuishwa pamoja huwa ni sababu ya umaskini usiokwisha.Nchi za Kiafrika tungekuwa matajiri nadhani process za Visa ningekuwa ngumu zaidi kuliko ilivyo kwa nchi za Ulaya tunapotaka kwenda. Sasa mtu akishazaa na Mtanzania, Kuna shida gani mali zikamilikiwa through watoto au mzazi mwenza..,...tumekataa Uraia pacha hata huu muunganiko wa kibailojia nao tunataka tuukatae
Hata sasa kuna mataifa yameorodheshwa hao kina Lebanon, Bangladesh and likes, kupata viza ya Tanzania unasubili miezi mitatu.Nchi za Kiafrika tungekuwa matajiri nadhani process za Visa ningekuwa ngumu zaidi kuliko ilivyo kwa nchi za Ulaya tunapotaka kwenda. Sasa mtu akishazaa na Mtanzania, Kuna shida gani mali zikamilikiwa through watoto au mzazi mwenza..,...tumekataa Uraia pacha hata huu muunganiko wa kibailojia nao tunataka tuukatae