Kama umiliki ni wa mtoto unamuonea wivu au ni nini? Yani hamtaki hata uwekezaji kidogo? Ardhi ni nini? Unataka huyo mtoto aende wapi kama kazaliwa hapa?Tanzania ni nchi ya amani na kila mtu anaitamani.
Sasa hawa jamaa wanapokuja kucheza mpira hapa,
Maisha ya hapa yanawavutia mno.
Wamebuni mbinu ya kuzaa hapa.
Mali zao wanasajili kwa majina ya watoto wao.
Mfano mzuri yule jamaa aliyekuwepo kwa vyura na sasa yupo kwa waarabu.
Mara zote huwa tupo hivi.Kama umiliki ni wa mtoto unamuonea wivu au ni nini? Yani hamtaki hata uwekezaji kidogo? Ardhi ni nini? Unataka huyo mtoto aende wapi kama kazaliwa hapa?
Hoja yako hapa ni Nini? Kama hata timu za hapa huzijui majina. Hakuna timu imesajiliwa kwa jina la vyura Tanzania. Wewe ni mjinga tu bila shaka.Tanzania ni nchi ya amani na kila mtu anaitamani.
Sasa hawa jamaa wanapokuja kucheza mpira hapa,
Maisha ya hapa yanawavutia mno.
Wamebuni mbinu ya kuzaa hapa.
Mali zao wanasajili kwa majina ya watoto wao.
Mfano mzuri yule jamaa aliyekuwepo kwa vyura na sasa yupo kwa waarabu.
Binadamu huwezi kumdhibiti kuzaa...Tanzania ni nchi ya amani na kila mtu anaitamani.
Sasa hawa jamaa wanapokuja kucheza mpira hapa,
Maisha ya hapa yanawavutia mno.
Wamebuni mbinu ya kuzaa hapa.
Mali zao wanasajili kwa majina ya watoto wao.
Mfano mzuri yule jamaa aliyekuwepo kwa vyura na sasa yupo kwa waarabu.
Ukishakuwa ccm huna tofauti na mchawi.Tanzania ni nchi ya amani na kila mtu anaitamani.
Sasa hawa jamaa wanapokuja kucheza mpira hapa,
Maisha ya hapa yanawavutia mno.
Wamebuni mbinu ya kuzaa hapa.
Mali zao wanasajili kwa majina ya watoto wao.
Mfano mzuri yule jamaa aliyekuwepo kwa vyura na sasa yupo kwa waarabu.
Na wewe zaa umilikishe watoto wako ardhi mkuu. Mimi sioni tatzo mtoto kupewa mali na baba...Mara zote huwa tupo hivi.
Tunatukuza wageni.
Hata viongozi wetu wote wapo hivi kama wewe.
Kawaida tu mbona. Wakameruni wanaija ila si wanazaa na dada zetu so wananunua mali na kuwekeza kwa majina yao hakuna ubayaTanzania ni nchi ya amani na kila mtu anaitamani.
Sasa hawa jamaa wanapokuja kucheza mpira hapa,
Maisha ya hapa yanawavutia mno.
Wamebuni mbinu ya kuzaa hapa.
Mali zao wanasajili kwa majina ya watoto wao.
Mfano mzuri yule jamaa aliyekuwepo kwa vyura na sasa yupo kwa waarabu.
Ukishakuwa ccm huna tofauti na mchawi.
Yani roho haikuumi bandari kupewa Waarabu ila unateseka Mtanzania akimuuzia mgeni ardhi yake anayoimiliki kihalali?
Wahindi wanamiliki viwanda vikubwa achilia mbali hizo plot za square meter 600.
Nina jamaa mbongo Marekani amenunuwa shamba, wewe uko dunia gani?
Nenda South Africa Wabongo kibao wanamiliki nyumba zao kisheria.
Ndio maana ccm mnapeana sumu mmejaa roho mbaya vifuani mwenu.
Ndikumana amezaa na Irene Uwoya na amekufa, yule mtoto atalelewa na ccm?
Sasa mimi namkatia shamba langu Aziz Ki ili uvimbe upasuke kabisa.
Hakuna ubaya, maana ardhi ipo hapa hapa, inatumiwa na watanzania. Sio wale wanaopeleka fedha nje.Tanzania ni nchi ya amani na kila mtu anaitamani.