Kb Ulayaulaya
JF-Expert Member
- Jan 5, 2023
- 727
- 1,059
Wewe si unaogopa kuuwa tembo kuchukuwa meno ukauze, waache matajili waendelee kuwa matajili.Mimi sina wivu na wageni hata Dola ilipoamua kwamba utajiri wa nchi hii uruhusiwe Kwa watz wenye asili ya asia naona poa tu!
Ninachataka katiba na Sheria zibadilishwe ili Kila MTU awe na haki na hata akishika asiharibu kabisa!!
RIP Reginald Mengi, RIP rama wa kariakoo aliejipiga risasi mwenyewe kwa kuhisi kunyanyasika kibiashara na hujuma alizopitia!!
Sheria zinadilishwe utajiri hapa bongo uwe fair kwa wote na sio TU Raia wenye asili fulani pekee!!
Haiwezekani top 10 ya matajiri bongo karibu wote eti ni raia wenye asili ya asia kana kwamba wazawa wote ni wavivu!!
RIP Ali Mufruki mpiganaji na wazawa matajiri waliopoteza maisha yao (MIMI SIKURIDHIKA NA VIFO VYAO) Ni kama kule kenya wasomali ndio ma don.wazawa wanaandamana kana kwamba wao hawana akilia ya utafutaji!!
Naishia hapa!
Mawazo huru na nadharia zinazokuja kichwani na kuondoka!!
Nenda Arusha uone, ndio maana Botswana walishituka hii mamboTanzania ni nchi ya amani na kila mtu anaitamani.
Sasa hawa jamaa wanapokuja kucheza mpira hapa,
Maisha ya hapa yanawavutia mno.
Wamebuni mbinu ya kuzaa hapa.
Mali zao wanasajili kwa majina ya watoto wao.
Mfano mzuri yule jamaa aliyekuwepo kwa vyura na sasa yupo kwa waarabu.
Ukiingia Kibaha vijijini tu hapo bei heka moja haizidi laki tano.Mashamba yanaunzwa bei ya kutupa lakini vijana wengi hawana plan za kuyanunua.
Mnachoweza ni kujadili plan za Simba na Yanga.
Ila wageni wakinunua ardhi mnaanza kuhoji!
Wanataka wapigwe mkuyenge kama aliopigwa Mirembe na RC mtuhumiwa.Wazee wa Sanda banahhhKama umiliki ni wa mtoto unamuonea wivu au ni nini? Yani hamtaki hata uwekezaji kidogo? Ardhi ni nini? Unataka huyo mtoto aende wapi kama kazaliwa hapa?
Mkuu mbegu bora kwenye michezo duniani ni ya waafrica tumekosa malezi sahihi ya soka lakini ukijenga football school kigoma vijijini hakuna cha merci wala ronaldoNyie si ndiyo mnahamasisha dada zenu wachukue mbegu ili tujenge team ya taifa
Shida nini sasa?
Bora hao wachezaji kuliko wachina na waturuki wanaozaa na kuwatelekeza watoto wao bila kitu.Tanzania ni nchi ya amani na kila mtu anaitamani.
Sasa hawa jamaa wanapokuja kucheza mpira hapa,
Maisha ya hapa yanawavutia mno.
Wamebuni mbinu ya kuzaa hapa.
Mali zao wanasajili kwa majina ya watoto wao.
Mfano mzuri yule jamaa aliyekuwepo kwa vyura na sasa yupo kwa waarabu.
We jamaa kumbe una ufahamu mdogo kiasi hiki??Ukishakuwa ccm huna tofauti na mchawi.
Yani roho haikuumi bandari kupewa Waarabu ila unateseka Mtanzania akimuuzia mgeni ardhi yake anayoimiliki kihalali?
Wahindi wanamiliki viwanda vikubwa achilia mbali hizo plot za square meter 600.
Nina jamaa mbongo Marekani amenunuwa shamba, wewe uko dunia gani?
Nenda South Africa Wabongo kibao wanamiliki nyumba zao kisheria.
Ndio maana ccm mnapeana sumu mmejaa roho mbaya vifuani mwenu.
Ndikumana amezaa na Irene Uwoya na amekufa, yule mtoto atalelewa na ccm?
Sasa mimi namkatia shamba langu Aziz Ki ili uvimbe upasuke kabisa.
Hadi laki 3 yapo.Ukiingia Kibaha vijijini tu hapo bei heka moja haizidi laki tano.
Hakuna binadamu mwenye kuweza kuishi kama kisiwa ' No man is an ireland'.Mara zote huwa tupo hivi.
Tunatukuza wageni.
Hata viongozi wetu wote wapo hivi kama wewe.
Mawazo ya kichoyo yana msingi wa umaskini wa mawazo ndani yake, Ni wa kumsamehe bure tu.Kama umiliki ni wa mtoto unamuonea wivu au ni nini? Yani hamtaki hata uwekezaji kidogo? Ardhi ni nini? Unataka huyo mtoto aende wapi kama kazaliwa hapa?
Kila nchi Ina utaratibu wake, je utaratibu wetu ndio huo? Sheria zetu zinaruhusu?Sio tu wanazaa hapa hata huko Ulaya wanafanya hivyo hivyo. Binadamu kashindwa kuonyesha namna ndoto ya RIP Martin Luther isivyo na maana.
Wale machotara wa timu za Ulaya ni matunda ya wachezaji wa kiafrika kuzaa kule miaka ile ya 2000 mwanzoni.
Musiala, Bellingham, Ndoye, Sane na wengine wengi tu wakati mimba zao zikiendelea kukua matumboni mwa mama zao wenyeji wa mataifa yao walikuwa na mawazo kama haya ya mleta mada, ya kutanguliza ubaguzi dhidi ya wageni lakini leo hii vijana wanatamba katika timu zao za taifa wazungu kinafiki wanashangilia magoli yao ni kiwango chao cha mpira.
Unamuonea tu aliyeweka hii mada, sio yeye bali sheria zetuKama umiliki ni wa mtoto unamuonea wivu au ni nini? Yani hamtaki hata uwekezaji kidogo? Ardhi ni nini? Unataka huyo mtoto aende wapi kama kazaliwa hapa?
Uchoyo Ni nn? Sheria zetu zinasemaje? Ni mleta mada ndio aloyetunga hizo sheria?Mawazo ya kichoyo yana msingi wa umaskini wa mawazo ndani yake, Ni wa kumsamehe bure tu.
Uchoyo ni kuwa na imani inayopitiliza kwamba kila mgeni anataka kutuibia, matokeo yake tunazeeka na kuaga dunia bila ya kuendeleza kile tunachojaaliwa na Mungu.Uchoyo Ni nn? Sheria zetu zinasemaje? Ni mleta mada ndio aloyetunga hizo sheria?
Kichekesho ni kwamba ukiwa njiani unatoka Dar kwenda huko mikoani ukiangalia kushoto na kulia kuna ardhi nyingi tu haijaguswa mpaka leo tangu tupate uhuru 1961.Sehemu kubwa ya Dunia,inawezekana kasoro tu.Ardhi ya za Zanzibar & Rwanda.
Ubaguzi na chuki kwa wenzio sio nzuri.
Hata mda huu nenda Congo utapata ardhi TU mbona.