Namna wachezaji mpira wa nje wanavyomiliki Ardhi Tanzania

Dunia ni yetu sote. Haya mambo ya kugawana vipande ni ubinafsi tu.
 
Kalala mayele
 
Leo hii unaweza kumfilisi kabisa Mo Dewji ukiwa na matarajio kwamba umemkomesha, mpe miaka mitano tu atakuwa tayari kesharudia utajiri ule ule wa awali, kwanini?.

Utajiri wa mtu upo kichwani mwake, na utajiri wake ni ubunifu anaokuwa nao.

Tupunguze haya mawazo ya kimaskini yenye kudhani kuwa wengine wanakuwa na mali ndio maana sisi ni maskini.

Umaskini wetu upo vichwani mwetu.
 
We mkongoman acha kutuharibia nchi yetu.
 
Umaskini wa akili ni yale mawazo kwamba mimi hali yangu ni mbaya kwa sababu kuna mwarabu na mhindi wanaoishi vizuri zaidi yangu.

Marais wa Marekani wanaiita nchi yao the land of opportunities, ni nchi ya fursa nyingi, kwa sababu wanaamini katika uwezo wa mtu kuliko rangi ya mtu.

Akon ni msenegali milionea anayeishi Marekani.

Jonathan Butler ni mwafrika ya kusini milionea mwanamuziki anayeishi Marekani.

Wapo wengi sana wanatajirika kwa kutumia vizuri sera chanya zenye kutazama uwezo wa mtu kuliko rangi.

Nyerere alikuwa na akili nyingi sana alizipiga vita sera zote za kibaguzi mapema kabisa alifahamu ubaguzi unazaa ubaguzi mbaya zaidi.
 
Wabongo wakiwa USA wana force kupata wachumba wa ki USA, wana funga ndoa nao ili wapate uraia wa USA it seems fair.

Ikifanyika huku inakua ni unfair.

Grow up man, hyo mipaka yenu ya kikoloni isifanye mkabaguana
 
Mbona sisi waafrika tukienda abroad tunafosi kuoa wazungu ili tuwe na uraia wa nchi zao, tunazaa nao ili watoto wetu wawe na greener pastures? Kuzaa na kumilikisha watoto mali zako, hasa waiozaliwa na mama wazawa kuna shida gani? Hamtaki cross breeding kwa ajili ya kuongeza talents?

Binafsi sioni tatizo katika hili, dada zetu wajiachie wazae nao ila watumie akili, vijana wa kigeni wacheze na kuwekeza bongo, its okay wala hakuna shida.
 
Nchi za Kiafrika tungekuwa matajiri nadhani process za Visa ningekuwa ngumu zaidi kuliko ilivyo kwa nchi za Ulaya tunapotaka kwenda. Sasa mtu akishazaa na Mtanzania, Kuna shida gani mali zikamilikiwa through watoto au mzazi mwenza..,...tumekataa Uraia pacha hata huu muunganiko wa kibailojia nao tunataka tuukatae
 
Fuatilia nchi zote za kusini mwa jangwa la sahara uone top ten zao za matajiri ni kina nani utagundua ni tatizo la Afrika nzima.
 
Mara zote huwa tupo hivi.

Tunatukuza wageni.

Hata viongozi wetu wote wapo hivi kama wewe.
Sasa si bora kutukuza hao wageni labda kutakuja toleo jipya la wenye akili kuliko hili la machawa wa uvccm lisilo jua kuhoji na kudadisi?
Yaani kwa kweli kizazi hiki chenu kilichoingia uccm vichwani mwao ni cha kufagia na kuleta akili mpya maana ni kama gonjwa baya la kuambukiza
 
Mara zote huwa tupo hivi.

Tunatukuza wageni.

Hata viongozi wetu wote wapo hivi kama wewe.
Acha ujinga, kama wamezaliwa hapa shida yako nini? wewe mwenyewe umezaliwa hapo by chance, acha roho mbaya
 
Hoja yako hapa ni Nini? Kama hata timu za hapa huzijui majina. Hakuna timu imesajiliwa kwa jina la vyura Tanzania. Wewe ni mjinga tu bila shaka.
Sikuzidi wewe punguani usiyejua maana.

Kima wewe.
 
Nilidhani huko upinzani kuna afadhali ila wale wale tu.
 
Akili za kimaskini matatizo matupu. Tunadhani chanzo cha shida zetu ni watu wengine kumbe ni matatizo yetu mengi yanapojumuishwa pamoja huwa ni sababu ya umaskini usiokwisha.
 
Hata sasa kuna mataifa yameorodheshwa hao kina Lebanon, Bangladesh and likes, kupata viza ya Tanzania unasubili miezi mitatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…