Namna ya ku-deal na Gold digger

Yeah namla mkuu japo hudum zake kidogo ni kubwa maana bado nina k nyingine zinanitegemea
Ila wanaume shida zingine mnajitafutiaga wenyewe, hamuwezi kutulia na mwanamke mmoja na bado wote muwagharamie ndio mana malalamiko ni mengi.
 
Ebu kimbia hapo, acha ubwegeee!!
Mkuu najua unanipenda sana na upendi kuona napotea sasa naomba unijibu hili swali vp nimpotezee sasa hv au hiyo kesho nimle ndio nimpotezee nina ahidi kufuata ushauri utakaonipa hapa
 
Mkuu najua unanipenda sana na upendi kuona napotea sasa naomba unijibu hili swali vp nimpotezee sasa hv au hiyo kesho nimle ndio nimpotezee nina ahidi kufuata ushauri utakaonipa hapa
Kwavile umesema ni mtamu,
Wewe kesho mle ya mwisho mwisho na umpe hiyo 30k halafu mpotezee.

Haiwezekani demu anaomba hela kwa kuforce kama vile ni haki yake.
 
una cheti cha kuzaliwa cha ndugu Melancholic ??
 
Kweli wasukuma mnaonewa na Mademu...cheki huyu anavokamuliwa na inaonyesha kipato chenyewe tia maji tia maji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…