Namna ya ku-deal na Gold digger

Unazingua mzee lazima nikuchongee
Sio nakuzingua, wengine mahusiano yametutesa sana, unakutana na mtoto lkn anakugeuza sio kikoba bali anataka amalize na umasikini wa kwao kabisa.

Kuna fala yeye alikuwa anajifananisha na Zari, kipindi kile Daimond akimnunulia Zari gari eti naye anataka🀣🀣🀣
 
Ila wanaume shida zingine mnajitafutiaga wenyewe, hamuwezi kutulia na mwanamke mmoja na bado wote muwagharamie ndio mana malalamiko ni mengi.
Mkuu sijui tupoje yani kinachotufanya tupende kuonja onja sijui
 
Eeh mkuu level mlizofika zilikuwa zingine
 

HIlo ndio tatizo la kudate na mijimama wewe karne hii unadate na demu wa 2003, limesha kubuhu mpaka limeota sugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…