Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 1,198
- 2,695
Apana siwajui watu haoWewe ni kapteni moto? Au yule chizi wa udsm anayetembeza dislike?
Mm nampenda Mungu na nipo single dada😋😋😋
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apana siwajui watu haoWewe ni kapteni moto? Au yule chizi wa udsm anayetembeza dislike?
Mkuu ananikera sanaKwavile umesema ni mtamu,
Wewe kesho mle ya mwisho mwisho na umpe hiyo 30k halafu mpotezee.
Haiwezekani demu anaomba hela kwa kuforce kama vile ni haki yake.
Unazingua mzee lazima nikuchongeeUnanichongea kwa mwanangu Half american 🤣
Na nini?Mkuu ananikera sana
Sio nakuzingua, wengine mahusiano yametutesa sana, unakutana na mtoto lkn anakugeuza sio kikoba bali anataka amalize na umasikini wa kwao kabisa.Unazingua mzee lazima nikuchongee
Afu wewe🤣Kwavile umesema ni mtamu,
Wewe kesho mle ya mwisho mwisho na umpe hiyo 30k halafu mpotezee.
Haiwezekani demu anaomba hela kwa kuforce kama vile ni haki yake.
Mkuu sijui tupoje yani kinachotufanya tupende kuonja onja sijuiIla wanaume shida zingine mnajitafutiaga wenyewe, hamuwezi kutulia na mwanamke mmoja na bado wote muwagharamie ndio mana malalamiko ni mengi.
Kosa ni lako kukosa hela ya kumnunulia gari.Kuna fala yeye alikuwa anajifananisha na Zari, kipindi kile Daimond akimnunulia Zari gari eti naye anataka🤣🤣🤣
Tabia zake mbaya ila mbususu yake tam kinoma hicho tu ndio kinachomsequre kula runguNa nini?
Halafu kuna wangese humu wanasema et hiyo pesa ndogoUyo mtoto saiz yake ni kachori na mihogo we anakuomba burungutu la wekundu watatu🤣🤣🤣
Eeh mkuu level mlizofika zilikuwa zingineSio nakuzingua, wengine mahusiano yametutesa sana, unakutana na mtoto lkn anakugeuza sio kikoba bali anataka amalize na umasikini wa kwao kabisa.
Kuna fala yeye alikuwa anajifananisha na Zari, kipindi kile Daimond akimnunulia Zari gari eti naye anataka🤣🤣🤣
Humu kuna hadi majitu ya samia mzee yale yanatembelea v8 kwahiyo uskae kizembeHalafu kuna wangese humu wanasema et hiyo pesa ndogo
Anko shetty 😂😂😂Sasa we shetani badala ya kufanya kazi yako ya kupotosha watu wewe ndio kwanza unaanza kutoa ushauri mzuri
Shetani gani wewe!!!
Wakuu niina swali kidogo hv unapotongoza mdada ukakuta ni Gold Diger inatakiwa uichape mara ngapi ndio uiache???
Aisee nimekutana na kitoto cha 2003 nikataka nimfanye wife material but nilivyogundua kuwa ni Gold diger nikaona hapa hakuna jipya ni kupiga na kusepa.
Tatzo likaanzia hapa toka nimemgusa yule mtoto the way alivyomtamu halafu ni msafi balaa na anajua mapenzi kinoma ndio nikajikuta nimenasa mazima.
Kila nikimaliza kudate nae nasema namuacha lakini zikipita siku mbili najikuta namtamani tena toka mwez wa 11 mpaka sasa nimeshindwa kumuacha huyu mtoto. Japo mara nyingi najiapiza kumuacha but ninafeli.
Kuna siku nikampotezea nikaamua kuvuta kidem changu kibonge kina nyashi hatari but nilishindwa kuperform sababu muda mwingi nilikuwa namuwaza yule mtoto wa 2003, yani itoshe tu kusema huyu mtoto kanikamata sana na sijui namna ya kujitoa japo nimeshamuweka mara 3 lakini bado najikuta naitaka tena pia tumekuwa na ugomvi mwingi kuhusu pesa lakini tunasolve mambo tunaendelea.
wakuu hapa tayari kaniambia kesho anakuja gheto na toka asubuh nilipanga kwamba hiyo ndio itakuwa mara ya mwisho but nikikumbuka utamu wa yule kiumbe nakosa ujasiri na mbaya zaidi namba yake ipo kichwani.
Hivi kuna mtu alishawahi kukutana na situation kama hii kwamba unananasa kwa mtu na unashindwa kujitoa??
Nimepiga madem wengi lakini nyapu, style na usafi wa huyu mtoto ni habari nyingine yani nishakuwa addicted na huyu mtoto naumia sana kubaki nae ila kujitoa ndio nimeshindwa em niokoeni
HIlo ndio tatizo la kudate na mijimama wewe karne hii unadate na demu wa 2003, limesha kubuhu mpaka limeota suguWakuu niina swali kidogo hv unapotongoza mdada ukakuta ni Gold Diger inatakiwa uichape mara ngapi ndio uiache???
Aisee nimekutana na kitoto cha 2003 nikataka nimfanye wife material but nilivyogundua kuwa ni Gold diger nikaona hapa hakuna jipya ni kupiga na kusepa.
Tatzo likaanzia hapa toka nimemgusa yule mtoto the way alivyomtamu halafu ni msafi balaa na anajua mapenzi kinoma ndio nikajikuta nimenasa mazima.
Kila nikimaliza kudate nae nasema namuacha lakini zikipita siku mbili najikuta namtamani tena toka mwez wa 11 mpaka sasa nimeshindwa kumuacha huyu mtoto. Japo mara nyingi najiapiza kumuacha but ninafeli.
Kuna siku nikampotezea nikaamua kuvuta kidem changu kibonge kina nyashi hatari but nilishindwa kuperform sababu muda mwingi nilikuwa namuwaza yule mtoto wa 2003, yani itoshe tu kusema huyu mtoto kanikamata sana na sijui namna ya kujitoa japo nimeshamuweka mara 3 lakini bado najikuta naitaka tena pia tumekuwa na ugomvi mwingi kuhusu pesa lakini tunasolve mambo tunaendelea.
wakuu hapa tayari kaniambia kesho anakuja gheto na toka asubuh nilipanga kwamba hiyo ndio itakuwa mara ya mwisho but nikikumbuka utamu wa yule kiumbe nakosa ujasiri na mbaya zaidi namba yake ipo kichwani.
Hivi kuna mtu alishawahi kukutana na situation kama hii kwamba unananasa kwa mtu na unashindwa kujitoa??
Nimepiga madem wengi lakini nyapu, style na usafi wa huyu mtoto ni habari nyingine yani nishakuwa addicted na huyu mtoto naumia sana kubaki nae ila kujitoa ndio nimeshindwa em niokoeni ndugu zangu.
Kaanza kuichoka kazi yake mapema wakati ndio kwanza 2025Anko shetty 😂😂😂
Sio kivile ni mwanamke mjinga kutoelewa level ya mpenzi wakoEeh mkuu level mlizofika zilikuwa zingine
Alitaka zuri zaidi, la kutembelea alikuwa nalo tuKosa ni lako kukosa hela ya kumnunulia gari.