Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
- Thread starter
- #201
Daah sawa mkuu nimekuelewaUnatafuta kufilisika na kifo juu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah sawa mkuu nimekuelewaUnatafuta kufilisika na kifo juu
Mkuu kwa maelezo yake huo mchezo anauogopa sanaMuombe umuingilie kinyume na maumbile, akikubali utapata value for your money, akikataa huo mchezo, ukiendelea mbembeleza akupe mix by yas atakuona we jau, atakukimbia, kwahiyo it's a win win situation
NB: Staki kuskia ooh kula mix by yas ya demu sio michezo yangu Melancholic
Sawa mkuu nitafuata ushauriMpotezee mazima usiangaike naye.
Mkuu mimi simchezei anajichezea mwenyeweKama mdogo/binti yako angekuwa anachezewa kiasi hicho ungeipokeaje taarifa hii? Jaribu kuvaa viatu vya Kaka/Baba Yake.
Malipo ni hapa hapa Duniani Mkuu.
Tukuokoeje na Wewe unafurahia utamu!Acha msihara basi.Wakuu niina swali kidogo hv unapotongoza mdada ukakuta ni Gold Diger inatakiwa uichape mara ngapi ndio uiache???
Aisee nimekutana na kitoto cha 2003 nikataka nimfanye wife material but nilivyogundua kuwa ni Gold diger nikaona hapa hakuna jipya ni kupiga na kusepa.
Tatzo likaanzia hapa toka nimemgusa yule mtoto the way alivyomtamu halafu ni msafi balaa na anajua mapenzi kinoma ndio nikajikuta nimenasa mazima.
Kila nikimaliza kudate nae nasema namuacha lakini zikipita siku mbili najikuta namtamani tena toka mwez wa 11 mpaka sasa nimeshindwa kumuacha huyu mtoto. Japo mara nyingi najiapiza kumuacha but ninafeli.
Kuna siku nikampotezea nikaamua kuvuta kidem changu kibonge kina nyashi hatari but nilishindwa kuperform sababu muda mwingi nilikuwa namuwaza yule mtoto wa 2003, yani itoshe tu kusema huyu mtoto kanikamata sana na sijui namna ya kujitoa japo nimeshamuweka mara 3 lakini bado najikuta naitaka tena pia tumekuwa na ugomvi mwingi kuhusu pesa lakini tunasolve mambo tunaendelea.
wakuu hapa tayari kaniambia kesho anakuja gheto na toka asubuh nilipanga kwamba hiyo ndio itakuwa mara ya mwisho but nikikumbuka utamu wa yule kiumbe nakosa ujasiri na mbaya zaidi namba yake ipo kichwani.
Hivi kuna mtu alishawahi kukutana na situation kama hii kwamba unananasa kwa mtu na unashindwa kujitoa??
Nimepiga madem wengi lakini nyapu, style na usafi wa huyu mtoto ni habari nyingine yani nishakuwa addicted na huyu mtoto naumia sana kubaki nae ila kujitoa ndio nimeshindwa em niokoeni ndugu zangu.
Ningempotezea tuUkitulia utapata jibu bora mkuu,
Kwahiyo mkuu unasemaje?Mpaka hela yako itakapokata
Sawa mkuu ngoja niipoteze kesho niairishe mechiNingempotezea tu
Mkuu hii ni serious issueTukuokoeje na Wewe unafurahia utamu!Acha msihara basi.
Kama hela ipo, endelea kuifanyia matumizi, ikikata tu, utajikuta mwenyewe unaanza kumchukia na kumpiga chenga.Kwahiyo mkuu unasemaje?
Mkuu nipo makini sana kwenye hilo pia ahsante kwa ushauri huyu nilimtoa kimara huko but ni pc ya kwendaKulingana na wadau wengi wa humu humu jukwaani. Vina UTI moja kali sana. Sijui umekitoa wapi
😀😀dawa hazisaidii, angalia usijekutobolewa sindano
Mkuu lengo lilikuwa kumfanya wife material ila nilishafeli kwenye hilo pia sitaki kuwa kwenye mahusiano ya kutiana hasaraKama hela ipo, endelea kuifanyia matumizi, ikikata tu, utajikuta mwenyewe unaanza kumchukia na kumpiga chenga.
Nimeelewa mkuuIn short ameamua mfanye biashara, hataki mapenzi, kazi kwako...
Kumbe yapo humu piaHumu kuna hadi majitu ya samia mzee yale yanatembelea v8 kwahiyo uskae kizembe
🤣🤣🤣
Kashaliwa huyuElfu 5 , mtoto kautaka huyo🤣😂
Shukrani sana mkuuMuulize penzi letu ni kuenjoy na kufurahia au kuuziana..kisha mwambie njoo ila sitakuwa na hela ya kutoa leo. Ukimfanya mara mbili bure akikimbia ndo unakuwa umetua mzigo. Asipokuja pia ndio umekata mrija wa pepo la ufilisi