Dr Adam Francis
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 790
- 1,316
Bar ni mlango wazi wa kuelekea kuzimu, period! Jitahidi kadri uwezavyo, usipazoee.Baada ya taarifa kutoka Mwanza ya kuwa kijana ameuliwa na mabaunsa wa Bar, nimeona nitoe elimu kidogo ambayo haitolewi popote
Hii ni elimu ya mtaa
1. Bar sio sehemu ya watu wanyonge.
Ukijua wewe ni mlaini usikanyage bar au night clubs, watakupiga wakuuwe
2. Hakikisha una kampani.
Kampani itakuhakikishia usalama ndo maana matajiri hulipa machawa na wapambe ili kuwa na ulinzi kipaumbele
3 kuwa na silaha iwe ya jadi au ya moto
Bar hasa usiku Kuna ubabe kwaiyo kuwa na mguu wa kuku ni vyema zaidi.
Watu makini Huwa hawaendi bar chukuchuku
4 Kagua milango ya kutokea na kutoroka in case emergency ya fujo ikitokea.
Masela laZima wajue Chocho zote za ku escape labda ukiishiwa pesa na huku ushakunywa bia
5. Kuwa na usafiri au nauli. Sio unalewa pesa zote, wahuni watakufanya vibaya.
6. Achana na mademu wa bar.
Wajanja hatuchukuaji mademu wa bar, hawa ni j
Hatari kwanza wanakuletea maadui usiowajua au hata wao kukudhuru
7 Epuka migogoro isiyo ya laZima.
Usilete usela mavi, bar Kuna wahuni wamepinda na washalewa kukumwaga ubongo hawachelewi
8. Epuka rafiki mpya wa bar
Usijenge sana urafiki na mtu ambaye ndo umekutana nae kwenye pombe
9. Usitafute umaarufu bar, watakuwa wahuni
Kunywa bia, dance, kula ondoka acha misifa
10. Wape tip kiaina hao mabaunsa ili ukizingua wawe upande wako
Soma Pia: Mwanza: Auawa na mabaunsa kisa Tsh 8000
Bar sio sehemu ya kinyongeNimekubali na nitazidi kukubali kuwa bar zina fujo. Lakini siyo kwa kiwango ulichoweka wewe na zile tahadhari. Haya; umeingia bar na kisu au bastola halafu mlevi chakari akakutuka na kukutapikia, silaha itasaidia nini? Hata akikuzaba kibao, silaha itasadia nini? Mimi nazungumzia kutokana na uzoefu. Kama hutaki kisikia ushauri wangu basi endelea kuingia na silaha kwenye ulevi.
Eti wakurya wa nyanshana🤣Maduka tisa ndo paki ngese sana pale sku moja chupchup mude wangu apgwe chupa imeerushws chupa na wakurya wa nyanshana walikua wanagombana yan staki kukumbuka kule wezi wote ndo wanapga starehe wanaishi mtaa wa msumbij
Na huwa wanaiba pia, ukitoka tu hukuti kinywaji!Wanaenda kukaa kuangalia wanao wajua unaanza kuskia bro nipewe moja bas au unaskia na buku niongezee buku nipate moja
😂😂Na huwa wanaiba pia, ukitoka tu hukuti kinywaji!
Wewe unadhani huyo jamaa aliyefariki alienda Bar akiwa hana kitu kabisa mfukoni? Utaanzaje kunywa bila kuwa na chochote mfukoni, labda iwe Bar yako🤣Mwanaume huna pesa unaenda bar kufanya nini?
Hela imeisha, unaendelea kukaa bar kufanya nini?
Na kule watu wanaofika bar mostly wamevurugwa na maisha(stress+depression)... Ukijichanganya kwisha habari yako😂Bar sio sehemu ya kinyonge
Matukio hayatokei mara Kwa mara ila Kuna siku likitokea ukiwa upo kizembe utaukumbuka huu uzi
Unaongelea ile iliyokuwa barabara ishukayo uwanja wa mbuzi? Ka ni hiyo ilikuwa na vibe sana,naona imegeuzwa kuwa day care. Just imagine investment yote ile inapotea hiviEti wakurya wa nyanshana🤣
Duh pole maduka 9 wahuni na malaya ndio wengi zaidi ndiomaana bucket ilifungwa!
Hapana sio hiyo, ipo kabisa pale maduka 9 barabarani kuna mtu mwingine naona kapaboresha kwa pembeni!Unaongelea ile iliyokuwa barabara ishukayo uwanja wa mbuzi? Ka ni hiyo ilikuwa na vibe sana,naona imegeuzwa kuwa day care. Just imagine investment yote ile inapotea hivi
[emoji23][emoji23][emoji23]Bar ambayo wengi ya wateja ni bodaboda...hiyo ni red flag [emoji626][emoji626][emoji626][emoji626][emoji626]
Kwa nini uache kinywaji mezani?Ukienda chooni na ukiacha vinywaji mezani ukirudi usinywe, agiza chengine ndio unywe vile vya mezani viache
Una muogopa hadi mzazi dear??Kwa nini uache kinywaji mezani?
Hata kama nipo na mzazi wangu, namaliza kinywaj ndo natoka..
I trust none…Una muogopa hadi mzazi dear??
Yeaa it is good thou. [emoji122]I trust none…
SituationKwa nini uache kinywaji mezani?
Hata kama nipo na mzazi wangu, namaliza kinywaj ndo natoka..
Nimeipata, huwa napita mara nyingi hiyo barabara kuanzia kona ya Bwiru hadi Mecco, ni pa moto sana ,bar nyingi vibe ka loteHapana sio hiyo, ipo kabisa pale maduka 9 barabarani kuna mtu mwingine naona kapaboresha kwa pembeni!