Namna ya kujilinda na kuwa salama unapokuwa Bar

Naongezea

1.Kama hakuna ulazima nenda kwenye local bar ,yaani msizidi watu kumi.

2.Chagua bar zako muhimu,yaani uwe unakopesheka.

3.kwa mfano unataka kunywa bia 10, basi kuwa na pesa mara mbili yake au zaidi.

4.Epuka kuongea Sana na kujikweza uwapo bar.

5.Tengeneza urafiki na wahudumu wa ikiwezekana uwe na tabia kuwanunulia bia soda na kadhalika,hii code nawapa bure,kama unapenda starehe acha uchoyo.

Utakuja kuepushwa na mengi ukiwa na urafiki na muhudumu.

6.Acha tamaa,

Mademu wengi wa bar huwa wanawasaliti waziwazi mabwana zao wa muda mrefu kisa hela zako wewe mpita njia,sasa kama huna akili timamu utatumia mwanya huo kupora na kutembea na mademu za watu, bro moja ya sababu Kwa asilimia nyingi ni ugomvi wa mademu,watu wanakutafutia kisa, hebu waza unadhani buku nane zilisababisha watu wapigie mtu kiasi hicho,ni ugomvi mwingine tu
 
Sijaelewa mantiki ya mtu kukopesheka bar?

Beer sio basic need, Kama huna hela agiza maji angaria mpira sepa, Au usiende kabisa.

Ila ukianza kuona unakopa mpaka beer, basi kichwa chako kina shida.
 
Sijaelewa mantiki ya mtu kukopesheka bar?

Beer sio basic need, Kama huna hela agiza maji angaria mpira sepa, Au usiende kabisa.

Ila ukianza kuona unakopa mpaka beer, basi kichwa chako kina shida.
Wewe siyo mlevi ,walevi watanielewa
Hapa nilipo nadaiwa milioni moja na elfu sabini bar tofauti tofauti

Mimi naweza kuwa Nina elfu 50 lakini naenda na wadau tutakunywa hata kufikisha bili ya laki tano tena hizi hizi local beer 2500
 
Umenikumbusha kuna huyo wakili mtaani kwetu akienda kulewa anaacha madeni analewa mpaka anazima analala hukohuko kesho yake unamkuta analipa madeni lohh🙌🏾
 
Wewe siyo mlevi ,walevi watanielewa
Hapa nilipo nadaiwa milioni moja na elfu sabini bar tofauti tofauti

Mimi naweza kuwa Nina elfu 50 lakini naenda na wadau tutakunywa hata kufikisha bili ya laki tano tena hizi hizi local beer 2500

Hao wadau usikute ni Mademu tu,

Haiwezekani kunywa wanywe ila bili wasilipe wakuachie wewe na wewe uache deni.

Nway, uko sahihi kabisa mm sio mlevi.
 
Kulala bar? Gari unaacha huku kulala unalala kule unaondoka ijumaa unarudi j3🙆🏽‍♀️

Hao ndo walevi choka mbaya, Madeni yote hayo analewa na malaya au, kwasababu kama umetoka na washkaji kweli hawakuachi umelewa bar hata siku moja.

Either wakukokote home au wakukodishie chumba ulale.
 
Hao ndo walevi choka mbaya, Madeni yote hayo analewa na malaya au, kwasababu kama umetoka na washkaji kweli hawakuachi umelewa bar hata siku moja.

Either wakukokote home au wakukodishie chumba ulale.
Namimi ndivyo ninavyojua! Ukitoka na watu wanaoeleweka kazima ulewe kwa kujiachia hata ikitokea fujo au umezima kwa kuchanganya vikali wanakurudisha safe home, sasa mtu unalewa kimbwa kweli! Kuna jamaa huku kwetu alikuta hormus wazi hayo mambo ya kulala mitaroni kisa umelewa!
 
Sasa hapo unaenda bar au vitani? Mbona tactics nyingi sana?
Kuna sehemu kiwanja Dodoma inaitwa Bambalaga mwanzoni ilikua hauingii kama upo upo tuu hata kama upo full loaded na millions, naona sasa hivi wamelegeza yeyote tu anaingia.
Ko pale Bambalaga ulikua ukiingia lazima uwe na NIDA au? Lol
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…