Namna ya kujilinda na kuwa salama unapokuwa Bar

Lakini kumbuka Seran pombe inatakiwa unywe ukiwa huna stress wala depression yeyote.

Mna uhakika huyo wakili Hana Tatizo linalomsumbua, kwasababu mfano Mimi siwezi kunywa pombe nikiwa na matatizo huwa nakunywa pombe nikiwa na raha tu au nikitoka kutimiza mchongo fulani.

Hata mwaka niliohamia kwangu nililewa Mwezi mzima.

Siku niliyovuna gunia 200 za mahindi nililewa Sana.

Siku aliyomaliza chuo mwanangu watu tulifurahi karibu week nzima.

Siku niliyoshinda tenda fulani hapa mjini ,mawakili wangu walioga pombe.

Lakini pia niliacha pombe mwakajuzi ikawa my wife ananibana nisilewe,nikaanza kukonda ,akaniruhusu ninywe kustaarabu,hiyo siku alinikuta nipo bar mishale ya saa 11 alfajir.

Ukifikia kusahau Hadi gari huku ukinunulia pombe everyone basi kuna shida mahali
 
Ndo maana ya G4S ila sio kutibua watu bila sababu unaanza kuimba wewe tena masikioni mwao kisa unapiga vikali wao chupa moja ten hours 😂
Ni mwendo wa kulamba kama paka! Inaboa lazima wamalizie hasira zote kwangu aisee! Kuna siku nilitingisha meza ya hizi za green, mnunuliwaji wa kike alinikata jicho🫢
 
Yule nahisi ana shida mahali, maana kakonda kababuliwa na ma kvant mdomoni! Ana smoke kama kichaa! Mkewe kashachoka mara aondoke na alichaga kazi bank yuke mama! Huyu wakili mimi simwelewi kama vile karogwa hasikii! Mawakili wenzie wote wanamjua! Kuna law firm nikikuwa nafanya kazi siku moja tuko mahakamani na boss namuona anamuita akamwambia vipi wakili akatoa ela kdg akampa duhh yani huku ni kama kudharaulika sana!
 
Umenikumbusha kuna huyo wakili mtaani kwetu akienda kulewa anaacha madeni analewa mpaka anazima analala hukohuko kesho yake unamkuta analipa madeni lohh🙌🏾
Dah ile siku nipo na wale wadada , nililetewa bil laki 4 na 70 , na sikuona hata nimekunywa kitu, dah🥲
 
Sasa umejua Tatizo.

Sijawahi tumia spirit yeyote kama
Konyagi,
K can't ,
Vodka zote,
Whisky yeyote,
Siwezi kunywa pombe yeyote ya gharama

Nakunywa bia tu,zamani safari lager.

Nikaona zinanisumbua nikahamia

Kwenye Castle lite Hadi Leo hii nitakunywa hiki kibia.

Pombe ukiitumia vibaya heshima hushuka Kwa Kasi mno
 
Dah ile siku nipo na wale wadada , nililetewa bil laki 4 na 70 , na sikuona hata nimekunywa kitu, dah🥲
Labda ulikuwa unagida makreti ya serengeti lite! Jifunze kununua JD na jagger au martelli na ice yako hapo pembeni basi!
 
Huyu hasikii pombe ya kawaida hivyo vi kvant vyenyewe anagida kama maji! Sidhani kama kuna siku atarudi kwenye beer yani sidhani! Pombe za gharama ndio nzuri huwezi kufananisha kvant na JD lazma utafanya mambo ya aibu, lakini jd inakaa masaa kadhaa unarudi kwenye uhalisia no hangover unaendelea na mishe zako lakini kvant sjui hansons(henessy pori) lazima utie aibu! Kuna siku nilikata hansons tule tuchupa tuwili, nilikuwa nachekacheka kama kichaa mara nipande juu ya meza! Lakini ukinywa zako jagger au VSOP huwezi jinyeanyea kama huyo mzee..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…