Namna ya kukabili tatizo la kuwahi kufika kileleni na kushindwa kuendelea

Tafadhali mkuu. Naomba ufafanuzi kuhusu BB, kwangu ni msamiati mpya.
 
Nilianza kutumia k vant ili nichelewe kufka mliman ,baadaee nilipoanzaa kuzoeaa kukaa mda mrefu bila kukojoaa nikaacha k vant nikaanza kunywa maji mengi kabla ya tendo hvyo nikaruhusu mkojo unibane kdg then kazi ianzee aiseeee kukojoaa usipochukua 45 mpk 60 bac ,angalia namna nyinginee yakumalizana Hilo ttz la kumaliza mchezo ndan ya dkk 1
 
Hii ni kweli kabisa, ukizuga zuga dk 5 zikipita baas humwagi tena
 
Mkuu ukiona hakitoki zipo stail unamuweka halafu unavuta hisia kali na speed kali
 
Kama unaangalia porn acha mara moja.
Psychologists wanasema ubongo ni adaptability machine maana yake unaadapt na kuzoea chochote kwenye mazingira yoyote. Kitendo cha wewe kuangalia watu wawili wakifanya ngono kinapelekea ubongo wako kuzoea hiyo hali na unakuwa unaridhika ukiona watu wakifanya ngono pekee badala ya wewe kuwa kwenye tendo hilo. Hivyo ukiwa na mwanamke hisia zinakuwa hazipo kabisa.

Binafsi sijawahi kuwa na hali hiyo na sababu kuu ni mazoezi makali, kula vizuri, kuacha kulipia only fans na kutokuwa shabiki wa porn na hasa baada ya kuachana na chama cha wachukua sheria mkononi. Kuna chama cha maveteran wa chaputa kinaitwa NoFap hii kitu ni gamechanger sababu unakuwa na hisia kali sana lakini utajizuia kuchukua sheria mkononi na ukipata mtoto mzuri lazima utaona maajabu.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…