Namna ya kuwaona wachawi kwa kutumia Kisamvu

Ujinga wa vita ya kichawi..wakikushindwa kikao cha mtaa ,,wanaenda kukujadili adi kikao cha mkoa..
Yani wakiamua kukuanzishia noma lazima uage dunia au uame mkoa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]noma lao ni wakishindwa level ya mkoa wa enda level ya kanda mpaka ya taifa.. Wakishindwa wanaenda kimataifa kabisa

Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
 
mi nataka nimkamate mmoja nimpige paipu za kutosha mwongozo mkuu?
 
Watu waliokata tamaa wanapenda kujaribu kila kitu mpaka wapate wanachokitafuta
 
Imeisha hiyo
 
Hujawafundisha hayo maji unanawa vp usoni na kwa direction gani, hujinawii tu kama umetoka kulala
 
Ujinga wa vita ya kichawi..wakikushindwa kikao cha mtaa ,,wanaenda kukujadili adi kikao cha mkoa..
Hii ilishamtokea shemeji yangu alikuwa anatisha kwa uganga eneo flan.akawatibu watu waliologwa.wale wachawi wakachukia wakaanza kumkalia kuanzia kikao cha kata mpaka cha kitaifa ndio wakumuweza.sikuamini kwa jinsi nilivyokuwa naujua ujuzi wake.wakawa wamempofusha kichawi.alikaa miezi 2 bila kuona.mizimu yake ikaanza kumponyesha kupitia wateja anavyowapa tiba ndio huo mchanga wa kichawi machoni ukawa unadondoka.hatimae akaona.wale wachawi wa kijiji hicho waliomkalia kamati walivyopata taharifa wakakimbia akabaki 1.alianza kufa mmoja mmoja mpaka Leo nauogopa uchawi.uchawi ni kitu kimoja hatari sana.haijalishi upo umbali gani anakufanyizia tuu.wengine hata uwe na kinga wanakupiga tuu,huwa ni hesabu tuu.hvyo usitake kuwafukunyua hawa watu,hawanaga dogo.watayaharibu maisha yako yote yawe ya laana
 
Tumia tiba yetu ile ya chumvi ya mabonge

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii chumvi nime ikubali 100%,tuli zozana na Mkewangu akajua nita mpiga aka ondoka,akatuma sms nyiingi kua sirudi tena nime choshwa nakuni tishia kunipiga (ila hii tabia nilisha iacha kbs ya kupigana sa'bu kuna siku kipigo kilinifanya nijute kwann nime mpiga so nika apa sita rudia)basi majuzi tulipishana lugha nikamwambia leo nakuchapa,wee akatoka mbio, sasa nikajua hz sms huyu yupo serious...basi nika ona mmh sjajiandaa kumpiga chini nita kwama tuu, Basi nika choma chumvi ktk moto huku nanuia arudi [emoji2][emoji2][emoji2] baasi asubuhi sms za mikwara zika endelea mm sikua najibu,nika mwambia nakutakia kila la kheri [emoji120],Basi jioni karudi tena na story nzuuri mpaka nika shangaa [emoji848] basi nika amini hii CHUMVI ni NOMAAA sana aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…