Namna ya shambulizi la Israel huko Isfahan-Iran inathibitisha Israel wamedhamiria na wanawaalika Iran kwa vita kamili.

Tuwasikilize Iran au tuwasikilize ninyi? Maana hata Iran wenyewe wanatofautiana katika utoaji wa taarifa huku wakiwa wame block mawasiliano ya maeneo yaliyoshambuliwa.
Sehemu pekee ambapo milipuko ilisikika ni karibu na kambi ya jeshi la anga iliyoko mjini Isfahan na milipuko hiyo ili sababishwa na kutunguliwa kwa drone na hizo drone haijajulikana iwapo ni za Israel au hapana, hakuna shambulizi lolote lililo fanyika ndani ya Iran.
 
Tukio la Jana la Israel kushambulia kwa ndege nchini Iran kujibu shambulizi la drones la Iran lililotangulia ni la kiwango cha juu kuashiria vita kamili . Hili Shambulizi lilipangwa kwa mkakati kama vile jeshi lililoko vitani serious na sio kama michezo ya kidali poo anayojaribu kufanya Iran. Hili ni shambulizi la mkakati mpana ukilitizama kwa sababu

Moja, Kuna chenga ya kijeshi waliofanyiwa Iran, ''military deception''(MILDEC) na serikali ya Israel. Chenga ya kijeshi ni kitendo cha kumuaminisha kiuongo adui kwamba utafanya au hautafanya jambo fulani ili kumchanganya afanye namna itakavyokuwa na faida kwako, ni kama kumpoteza maboya. Baada ya shambulio la Iran serikali ya Israel ilikaa vikao vingi na taarifa za mwisho za vikao hivyo zilizotoka ziliashiria Israel hawatafanya shambulizi lolote ndani ya Iran hivi karibuni lakini muda mfupi tu wameshambulia. Hii ni tofauti na vile Iran ilivyofanya shambulizi la kupanga la droni na kulitekeleza kwa siku nzima ikiwapa Israel na washirika wake muda mrefu wa kutosha kujipanga kukabiliana nalo.

Mbili, wamepiga karibia katikati kabisa ya Iran na zaidi wamepiga eneo muhuimu na la kimkakatil la Iran kijeshi na kiulinzi. Isfahan ni eneo ambalo kuna miradi ya nuclear, kambi kubwa ya jeshi na viwanda vya uzalishaji silaha zikiwemo droni. Hili ni onyo kwa Iran kwamba wamedhamiria vita na wanaweza kufika na kupiga popote katika nchi hiyo yenye ukubwa wa eneo mara mbili ya Tanzania.

Tatu, Israel wamepiga nchi tatu kwa wakati mmoja kwa mkupuo. Katika siku moja wameshambulia Syria, Iraq na Iran kuwaonyesha wa-Iran kwamba wako tayari kwa lolote.
Sasa tutegemee majibu kutoka kwa Iran.
ikiwapa Israel na washirika wake muda mrefu wa kutosha kujipanga kukabiliana nalo.

So Iran ajipange vizuri maana apigani na Israel tu ila anapigana na nchi kama 3 ikiwepo Marekani na Uingereza ila Israel yeye amekubali nchi yake kuwa uwanja wa vita

Ngoja tuone kama Iran ataweza kuwatwanga Marekani, Uingereza na kibaraka wao Israel
 
Unajua hii vita watu wanaichukulia kwa urahisi sana na ushabiki, bila ya kujua nini yanaweza kuwa madhara makubwa ya vita hiyo.

Eneo la mashariki ya kati tayari liko kwenye mgogoro mkubwa, na ndiyo maana unaona baraza la usalama la umoja wa mataifa linakaa vikao kila siku, lengo ni kushinikiza hii hali isiendelee, na wameonya kama hali itazidi kuwa mbaya na Iran na Israel kuingia vitani rasmi, basi kuna uwezekano mkubwa wa kuingia vita ya tatu ya dunia WW3.

Hata Mmarekani mwenyewe yuko pamoja na Israel, ila alisema swala la how Israel will respond to the recent attacks from Iran anawaachia wa Israel.

Kikubwa tuombe haya mambo yasifike huko, kuna madhara makubwa sana ya kiuchumi yataenda tokea, mbali na madhara ya kibinadamu
 
Naona unajitekenya na kujamba mwenyewe. Kila mtu wakiwemo viongozi wa Israel yenyewe wameona aibu kulizungumzia hili shambulio kutokana na kushindwa kufikia malengo.

Shambulio lililozuiliwa kiulani na Iran yenyewe bila madhara yoyote, unaweza kumfananishaje na lile lililoshindwa kuzuiwa na nchi zaidi ya 8 na likapiga target iliyokusudiwa!

Shambulio la Iran liliishtua na kushangaa dunia jinsi lilivyofanikiwa kupenya ngome za ulinzi za mataifa kama US, UK, France, Germany, Saudi Arabia, Jordan, Iraq, Syria na Israel yenyewe. Hili la Israel watu wengi duniani hawajui kama limetokea maana halikuleta madhara. Lakini pia limeivua nguo Israel kwa shambulio lake kuzuiwa na nchi moja tu (Iran) bila msaada wa US wala UK.
Awali ulisema, Israel haataweza kurusha hata jiwe Iran, kwa sasa umetia bidii kutetea kile kimefanywa na Israel huko kwenu

Tukueleweje mteule wa PK
 
  • Thanks
Reactions: 511
Chenga ya kijeshi ni kitendo cha kumuaminisha kiuongo adui kwamba utafanya au hautafanya jambo fulani ili kumchanganya afanye namna itakavyokuwa na faida kwako
Naona ni bonge la chenga!

Israel-Iran tensions live news: Explosions as ‘drones downed’ over Isfahan​

Iran has fired air defence batteries to shoot down three drones over Isfahan, according to state media, as regional tensions rise following Iran’s retaliatory strike on Israel after an attack against its diplomatic premises in Syria.

Tukio la Jana la Israel kushambulia kwa ndege nchini Iran kujibu shambulizi la drones la Iran lililotangulia ni la kiwango cha juu kuashiria vita kamili . Hili Shambulizi lilipangwa kwa mkakati kama vile jeshi lililoko vitani serious na sio kama michezo ya kidali poo anayojaribu kufanya Iran. Hili ni shambulizi la mkakati mpana ukilitizama kwa sababu

Moja, Kuna chenga ya kijeshi waliofanyiwa Iran, ''military deception''(MILDEC) na serikali ya Israel. Chenga ya kijeshi ni kitendo cha kumuaminisha kiuongo adui kwamba utafanya au hautafanya jambo fulani ili kumchanganya afanye namna itakavyokuwa na faida kwako, ni kama kumpoteza maboya. Baada ya shambulio la Iran serikali ya Israel ilikaa vikao vingi na taarifa za mwisho za vikao hivyo zilizotoka ziliashiria Israel hawatafanya shambulizi lolote ndani ya Iran hivi karibuni lakini muda mfupi tu wameshambulia. Hii ni tofauti na vile Iran ilivyofanya shambulizi la kupanga la droni na kulitekeleza kwa siku nzima ikiwapa Israel na washirika wake muda mrefu wa kutosha kujipanga kukabiliana nalo.

Mbili, wamepiga karibia katikati kabisa ya Iran na zaidi wamepiga eneo muhuimu na la kimkakatil la Iran kijeshi na kiulinzi. Isfahan ni eneo ambalo kuna miradi ya nuclear, kambi kubwa ya jeshi na viwanda vya uzalishaji silaha zikiwemo droni. Hili ni onyo kwa Iran kwamba wamedhamiria vita na wanaweza kufika na kupiga popote katika nchi hiyo yenye ukubwa wa eneo mara mbili ya Tanzania.

Tatu, Israel wamepiga nchi tatu kwa wakati mmoja kwa mkupuo. Katika siku moja wameshambulia Syria, Iraq na Iran kuwaonyesha wa-Iran kwamba wako tayari kwa lolote.
Sasa tutegemee majibu kutoka kwa Iran.

Nne, Israel imeonyesha kwamba inaweza kufanya maamuzi yake peke yake kama nchi huru bila kujali washirika wake wa Marekani na Ulaya linapokuja suala la ulinzi, vita na pride ya nchi yao. Pamoja na msimamo wa Marekani na Uingereza wa kwamba hawataiunga Israel katika mashambulizi ya Iran kwa sasa, Israel imeendelea mbele na kufanya mashambulizi yenyewe kama ilivyopanga na kuona inafaa bila kujali msimamo wa washirika wake.
Shambulio lililofeli!?
Screenshot_2024-04-19-08-27-46-44_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Naona unajitekenya na kujamba mwenyewe. Kila mtu wakiwemo viongozi wa Israel yenyewe wameona aibu kulizungumzia hili shambulio kutokana na kushindwa kufikia malengo.

Shambulio lililozuiliwa kiulani na Iran yenyewe bila madhara yoyote, unaweza kumfananishaje na lile lililoshindwa kuzuiwa na nchi zaidi ya 8 na likapiga target iliyokusudiwa!

Shambulio la Iran liliishtua na kushangaa dunia jinsi lilivyofanikiwa kupenya ngome za ulinzi za mataifa kama US, UK, France, Germany, Saudi Arabia, Jordan, Iraq, Syria na Israel yenyewe. Hili la Israel watu wengi duniani hawajui kama limetokea maana halikuleta madhara. Lakini pia limeivua nguo Israel kwa shambulio lake kuzuiwa na nchi moja tu (Iran) bila msaada wa US wala UK.
Bado hamjasema
B
1713522437347.jpg
 
  • Kicheko
Reactions: 511
hivi Maghayo kaona hiyo Avatar🤣🤣
Nimeiona asee huyu jamaa Accumen Mo kwa kubadilisha avatar. Alikuwaga na moja ya kaaba kuhiji akabadilisha na kuweka mjeda flani porini anasoma msaafu akabadilisha na kuweka gaidi la Hamas limeva kayefa kwenye tv huku paka akicheza akabadilisha akaweka sasa hivi mvaa dera Ayatollah. Yani huyu na adriz hovyo kabisa bora wangevutaga bange tu. Mufti kuku The Infinity naye akaweka avatar picha ya ajabu ya nyau akichungulia.
 
ikiwapa Israel na washirika wake muda mrefu wa kutosha kujipanga kukabiliana nalo.

So Iran ajipange vizuri maana apigani na Israel tu ila anapigana na nchi kama 3 ikiwepo Marekani na Uingereza ila Israel yeye amekubali nchi yake kuwa uwanja wa vita

Ngoja tuone kama Iran ataweza kuwatwanga Marekani, Uingereza na kibaraka wao Israel
Kuna muda embu kuweni serious basi, hivi kuna nchi ya kupambana na US hapo mashariki ya kati?

Pia muunganiko wa US na UK unaujua au unaongea tu kama story mkuu?
 
Unajua hii vita watu wanaichukulia kwa urahisi sana na ushabiki, bila ya kujua nini yanaweza kuwa madhara makubwa ya vita hiyo.

Eneo la mashariki ya kati tayari liko kwenye mgogoro mkubwa, na ndiyo maana unaona baraza la usalama la umoja wa mataifa linakaa vikao kila siku, lengo ni kushinikiza hii hali isiendelee, na wameonya kama hali itazidi kuwa mbaya na Iran na Israel kuingia vitani rasmi, basi kuna uwezekano mkubwa wa kuingia vita ya tatu ya dunia WW3.

Hata Mmarekani mwenyewe yuko pamoja na Israel, ila alisema swala la how Israel will respond to the recent attacks from Iran anawaachia wa Israel.

Kikubwa tuombe haya mambo yasifike huko, kuna madhara makubwa sana ya kiuchumi yataenda tokea, mbali na madhara ya kibinadamu
Mkuu hayo madhara ni kwetu sie ngozi nyeusi, wazungu wangekuwa wanaathirika hii vita ingekoma.
 
Hii ndio nini!?
Lete ushahidi wa vifo au majeruhi.
Au madhara.
Hapo siyo Gaza eti jeshi linajichanganya na watoto, hapo ni kambi la jeshi na sehemu ghala la siraha zinapohifadhiwa
 
Tukio la Jana la Israel kushambulia kwa ndege nchini Iran kujibu shambulizi la drones la Iran lililotangulia ni la kiwango cha juu kuashiria vita kamili . Hili Shambulizi lilipangwa kwa mkakati kama vile jeshi lililoko vitani serious na sio kama michezo ya kidali poo anayojaribu kufanya Iran. Hili ni shambulizi la mkakati mpana ukilitizama kwa sababu

Moja, Kuna chenga ya kijeshi waliofanyiwa Iran, ''military deception''(MILDEC) na serikali ya Israel. Chenga ya kijeshi ni kitendo cha kumuaminisha kiuongo adui kwamba utafanya au hautafanya jambo fulani ili kumchanganya afanye namna itakavyokuwa na faida kwako, ni kama kumpoteza maboya. Baada ya shambulio la Iran serikali ya Israel ilikaa vikao vingi na taarifa za mwisho za vikao hivyo zilizotoka ziliashiria Israel hawatafanya shambulizi lolote ndani ya Iran hivi karibuni lakini muda mfupi tu wameshambulia. Hii ni tofauti na vile Iran ilivyofanya shambulizi la kupanga la droni na kulitekeleza kwa siku nzima ikiwapa Israel na washirika wake muda mrefu wa kutosha kujipanga kukabiliana nalo.

Mbili, wamepiga karibia katikati kabisa ya Iran na zaidi wamepiga eneo muhuimu na la kimkakatil la Iran kijeshi na kiulinzi. Isfahan ni eneo ambalo kuna miradi ya nuclear, kambi kubwa ya jeshi na viwanda vya uzalishaji silaha zikiwemo droni. Hili ni onyo kwa Iran kwamba wamedhamiria vita na wanaweza kufika na kupiga popote katika nchi hiyo yenye ukubwa wa eneo mara mbili ya Tanzania.

Tatu, Israel wamepiga nchi tatu kwa wakati mmoja kwa mkupuo. Katika siku moja wameshambulia Syria, Iraq na Iran kuwaonyesha wa-Iran kwamba wako tayari kwa lolote.
Sasa tutegemee majibu kutoka kwa Iran.

Nne, Israel imeonyesha kwamba inaweza kufanya maamuzi yake peke yake kama nchi huru bila kujali washirika wake wa Marekani na Ulaya linapokuja suala la ulinzi, vita na pride ya nchi yao. Pamoja na msimamo wa Marekani na Uingereza wa kwamba hawataiunga Israel katika mashambulizi ya Iran kwa sasa, Israel imeendelea mbele na kufanya mashambulizi yenyewe kama ilivyopanga na kuona inafaa bila kujali msimamo wa washirika wake.
Mashekhe ubwabwa wa JF wamehorojoka muda mrefu humu JF kuwa Israel hawezi rusha hata jiwe Iran leo wana kazi ya kuhamisha magoli kukataa waizrael walichofanya aisee kuukataa ukweli hakujawahi na haitotokea kushinde huwa ni suala la muda tu....
 
Tuwasikilize Iran au tuwasikilize ninyi? Maana hata Iran wenyewe wanatofautiana katika utoaji wa taarifa huku wakiwa wame block mawasiliano ya maeneo yaliyoshambuliwa.
Mkuu waisrael, wamarekani, waingereza, wafaransa, wajerumani na dunia kwa ujumla hawatokuja kusahau hicho kipigo kilichosababisha Netanyahu na wahuni wenzake walale chini ya mahandaki, ili kukwepa shambulio lililoshindwa kuzuiliwa na nchi zaidi ya 8.
1. Marekani
2. Uingereza
3. Ufaransa
4. Ujerumani
5. Jordan
6. Iraq
7. Saudi Arabia
8. Israel yenyewe

Pamoja na nchi hizo kujaribu kuzuia makombora ya Iran, lakini wameshindwa. Sasa Iran hako kashambulio kakazuia yeye mwenyew bila msaada wa Marekani, Saudia wala ushuzi wa nchi yoyote. Kwa kujiamini na kuidharau Israel na washirika wake Iran kasimama yeye kama yeye. Yani ni mapambano ya nchi 8 dhidi ya nchi 1. Alaf kashambulio kao ndio kepesi namna ile, na watu wengi duniani hawajui hata kilichoendelea huko Iran. Ila shambulizi la Iran mpaka vijijini kwenu huko Chato walilifahamu kulaleki 😂😂😂
 
Attachments

  • 5694720-74202fee70ac282f58720672dc9d5d76.mp4
    7.6 MB
Naona unajitekenya na kujamba mwenyewe. Kila mtu wakiwemo viongozi wa Israel yenyewe wameona aibu kulizungumzia hili shambulio kutokana na kushindwa kufikia malengo.

Shambulio lililozuiliwa kiulani na Iran yenyewe bila madhara yoyote, unaweza kumfananishaje na lile lililoshindwa kuzuiwa na nchi zaidi ya 8 na likapiga target iliyokusudiwa!

Shambulio la Iran liliishtua na kushangaa dunia jinsi lilivyofanikiwa kupenya ngome za ulinzi za mataifa kama US, UK, France, Germany, Saudi Arabia, Jordan, Iraq, Syria na Israel yenyewe. Hili la Israel watu wengi duniani hawajui kama limetokea maana halikuleta madhara. Lakini pia limeivua nguo Israel kwa shambulio lake kuzuiwa na nchi moja tu (Iran) bila msaada wa US wala UK.
Hakuna hata ndege ya Israel au Missiles kutoka Israel waongo tu, ni vidrone vidogo vitatu vilirushwa ndani ya Iran na vibaraka wao na viliangushwa hakuna hata madhara walio pata Iran.

Western media, Arab media na Israel media ndio walijidai Israel karusha Missiles waongo kabisa.
 
Nimeiona asee huyu jamaa Accumen Mo kwa kubadilisha avatar. Alikuwaga na moja ya kaaba kuhiji akabadilisha na kuweka mjeda flani porini anasoma msaafu akabadilisha na kuweka gaidi la Hamas limeva kayefa kwenye tv huku paka akicheza akabadilisha akaweka sasa hivi mvaa dera Ayatollah. Yani huyu na adriz hovyo kabisa bora wangevutaga bange tu. Mufti kuku The Infinity naye akaweka avatar picha ya ajabu ya nyau akichungulia.
hii vita sitatia Neno nasubiri upande wa IRAN ujibu mashambulizi akiongozwa na Accumen Mo pamoja na adriz
 
Back
Top Bottom