Nampenda ila mawasiliano ni changamoto

Uko sahihi banaa!
Hili nalo neno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake mna tafsiri mbovu Sana ya neno KUPENDA (love).

Mfano Kama Wewe apo,
Umeshindwa kabisa kutofautisha neno Kupenda (love)na neno MAHABA (romance)

Naweza
Kua nakupenda sana, ila nisiwe na mahaba na Wewe.

Ila naweza pia,
Kua na mahaba Sana Wewe, ila nisikupende.

Usichanganye vitu viwili hivi mkuu, utapata shida kutuelewa[emoji4]
 
Alpha male ( Bad boy )
 
Huu ni ukweli kabisaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mimi ni me, ila najua unacho jaribu kumaanisha hapo, ila ukweli ndo huo,utakuta kuna sehem huyo jamaa, anapiga sim kila saa,anachat mpaka basi, ila kwa dada yetu ndo anajifanya kua mzito, mkuu njia kuu lazima mwanaume awe makini nayo hatakama ana mchepuko, ahsante.

Sent from my itel P32 using JamiiForums mobile app
 
Yaani Wewe nadhani una tabia ya kupinga kila kitu hebu ukiachana na Uwanaume wako ambao unaona ukimuunga mtoa mada kwamba alipo si sahihi isome tena mada uelewe vizuri then uje kuchangia
 
Fact πŸ’―
 
Aisee..kumbe unaweza pendwa na kusiwe na mahaba
Na kuna mahaba ila si kupendwaπŸ€”
Wanaume nyiee
 
[emoji134][emoji134]mmh Mungu nisaidie sijui km nitaweza hii

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume wengi tuanaamini hivyo,

Ya kwamba,
the way unavobehave mwanzoni mwa mahusiano yako ndo itakua hatma na mwendelezo wa penzi lako uko mbeleni.

Memory ya mwanamke always inashika kile kile Cha mwanzo ulichomzoesha.

Ukijifanya:-
[emoji117]Muomba msamaha kila unapokosea, hakikisha Utamantain. Mbeleni ukikosea bila kupiga goti chini HAYAISHI.

[emoji117]Muomba ruhusa kila ukitaka kufanya Jambo lako, mwanamke wako atakukariri hivyo hivyo. Ole wako usitoe taarifa.

[emoji117]Mpiga Simu na kupokea kila saa,uhakikishe UTakua hivyo daima.
Ole wako Simu isipokelewe, Jipange kununiwa.

[emoji117]Unamtimizia kila anachohitaji kila siku, hakikisha UTakua hivyo hadi siku za usoni.
Ole wako ahitaji kitu afu useme huna, mapenz yanapungua.


Kwaiyo Ni muhimu mwanaume utengeneze vizur hatma ya penzi lako la malengo mapema kabisa.
 
Kitu kinacho waunganisha wapendanao ni mawasiliano na anayekupenda kwa dhati hachoki kuwasiliana nawe tena na tena.
Ila sio kila saa siku nzima,
mtoa mada keshasema wazi kua jamaa huwa anamtafuta usiku.

Ambapo Ni Jambo jema Sana kwa ustawi wa mapenz, hasa penzi jipya.
 
Njoo hapa haraka Sana Ila uwe na sifa hizi

-uwe nakipato halali na halisi
-uwe na nyumba angalau moja na gari yakutembelea
-usiwe mlevi
-uwe tayar kunihudumia na mda wote uwe tayar kuchat nakuzungumza kwa mahaba

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
-ninaishi nawazaz wangu nanimiliki simu moja ya tecno
-nina watoto watatu wa nje
-sina pesa,nyumba Wala gari
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666]Msema kweli ni mpenzi wa mungu mambo mengne tutafundishana!
 
[emoji87][emoji134][emoji848]
Nimecheka duh!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo uhalisia huo dada angu,

Mara kibao Naweza kua sina kazi yamaana nafanya, ila Niko bize TU humu jf Ila nisihitaji kuwasiliana na mpenz wang.
(Akapiga sim nikaikata, au kutext nisijibu)

Hapo
Sio kwamba simpendi,Ila nahitaji tu space niwe na free Tu na maisha mengine.
 
Aaaa
Aaaah hii hatari ndugu we endelea kupendana na Mungu tu humpati hy πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yaani Wewe nadhani una tabia ya kupinga kila kitu hebu ukiachana na Uwanaume wako ambao unaona ukimuunga mtoa mada kwamba alipo si sahihi isome tena mada uelewe vizuri then uje kuchangia
Mi mwanaCCM bhana,
Nitake radhi Nuzulati [emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…