Nampenda ila mawasiliano ni changamoto

Aisee..kumbe unaweza pendwa na kusiwe na mahaba
Na kuna mahaba ila si kupendwa[emoji848]
Wanaume nyiee
Huo ndo uhalisi dada angu,

Na wanawake wengi hupoteza wanaume wanaowapenda kwa dhati kwa kuyapa kipaumbele mahaba badala ya mapenzi.

Wanaume wengi waongo waongo huwa Ni wazuri sana kwny mahaba kuliko mapenzi.

Maana wanajua Nini wanawake wanataka kwa wakati upi,
yaan saikolojia ya mwanamke husika inakua kiganjani mwake anakuaga kama anaswipe TU menu yake kucheza na akili yake.

Hebu Chunguza vizur Yna2,
Ndo maana wanaume wengi wenye mahaba ya kweli, yaani Yale mahaba niue ya moyoni.
Hupoteza wapenzi wengi wanaowapenda Sana kwasababu ya kupungukiwa kitu kinaitwa mahaba.
 
Aisee..Basi nashukuru ndugu yangu kwa kunijuza...hii comment Ni ya kufanyiwa lamination kabisa.. Ahsante Sana
 
Tatizo majobless washawazoesha vibaya..muda wote kupigiana pigiana simu kama mmeuziana shamba...

Wanaume wenye kazi hatupendi hii kitu
 
Aisee..Basi nashukuru ndugu yangu kwa kunijuza...hii comment Ni ya kufanyiwa lamination kabisa.. Ahsante Sana
Anachopaswa kufanya uyu mdada,

Ni kujihakikishia nafas yake kwanza kwa jamaa Kama kweli anampenda kutoka moyoni au anamzingua.

Na Hapo ndipo ulipo mtihani mwngn,
Sisi wanaume mwanamke tunayempenda hata hafananii kabisa na wanawake wale ambao tunapita nao kila siku.
 
Hapo ndipo unapokosea..
 
Kumbe una ubishi wa asili
Ha ha ha....
Tatizo lenu nyie wanawake mnapenda Sana kuskia yale maskio yenu yanapenda kuskia.

Comment ya mwanaume mmoja kwenye Uzi, isikufanye ukadrive into conclusion kusapoti anachokilalamikia mtoa mada kwamba tunapaswa kua vile.

Nmeongea Kama Mwanaume, na hiyo ndio nature yetu wengi tulivyo.

Na hapa naamini watakuja wanaume wengine kuongea Kama Mimi.

Trust me,
msimpotoshe mwenzenu kwamba avunje mahusiano, yapaswa avute subira kwanza.
 
Hivyo ndo Safi Sasa,

Unavozidi kuumia, unavozidi kummiss, ndivyo unavozidi kukolea penzini.

Amini usiamini,
Wife material ndo huwa anatafutwa hivi hivi,full vitimbi na sarakasi ili mradi TU kupima uvumilivu, hekima na upendo wako kwake.

Uyo jamaa yetu hakika Anaupiga mwingi.[emoji106]

Na ukitulia vizur kipind hiki,
Wallah Pete unavalishwa,ndoa inafungwa na unaolewa kabisa.

Wanaume tunapenda Sana wanawake SUBMISSIVE kwa maisha ya NDOA.[emoji4][emoji106]
 
Ukimpemda mtu vizuri utatamani kila saa uongee nae au uchati naye hata kama upo busy. Haya mambo yasikieni tu.
Ila mtu kama hajakuingia vizuri, ndio haya maneno uliyoandika yanaposhika nafasi
 
Ujumbe wako naufanyia kazi nimeusoma nimeuelewa naona ndo kilichopo vocha yangu dk zangu mtu kupokea tu anaona tabu anakaa kimya whole the day...aya umekuwa busy ulivyorud job calls zangu haoni,mbona still hapigi even text labda nijaribu tena Mimi kumpigia.

Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
 
Ujumbe wako naufanyia kazi nimeusoma nimeuelewa naona ndo kilichopo vocha yangu dk zangu mtu kupokea tu anaona tabu anakaa kimya whole the day...aya umekuwa busy ulivyorud job calls zangu haoni,mbona still hapigi even text hajibu labda nijaribu tena Mimi kumpigia.kama ulivyonambia inabidi ni delete No.

Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
 
Unampigia mtu simu mara kumi ana figo yako? Hebu acha masihara, piga mara moj asipopokea subiri akute misscll akupigie yeye.
 
[emoji817][emoji817]
 
Wewe huwajui wanawake wanaopenda kuchat wewe... yani mtu siku nzima anataka mpigiane simu mara msg sijui Video call watu wapo busy na kazi inabdi uelewe hivyo
 
Acha kumpotosha! mimi ni Me pia na nina tabia hiyohiyo.
Kuna wakati natongoza mwanamke yeyote aliyejichanganya just because m a man and m single na akishakubali naanza vitibwi vya aina hiyo. It always doesn't end well hasa kwa Ke.

Mimi namshauri awe makini asije potezewa muda na maumivu juu.
 
Unampigia mtu simu mara kumi ana figo yako? Hebu acha masihara, piga mara moj asipopokea subiri akute misscll akupigie yeye.
Natumiaga excuse ya ubusy pia ninapokua siko interested na mtu.
Hivi kweli masaa 24 yote unakua busy, unafanya research za kutibu cancer au?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huyu binti anapotezewa muda.
 
Natumiaga excuse ya ubusy pia ninapokua siko interested na mtu.
Hivi kweli masaa 24 yote unakua busy unafanya research za kutibu cancer au?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huyu binti anapotezewa muda.
Asante kwa ushauri ni kweli ata Mimi naliona ilo mtu unaempenda lazima uwe na time nae!!!!

Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
 
Cha muhimu achunguze
 
hahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…