Ambacho Ujaelewa jamaa kasema ikifika usiku anamtafuta, tatzo liko wapi Apo?Natumiaga excuse ya ubusy pia ninapokua siko interested na mtu.
Hivi kweli masaa 24 yote unakua busy, unafanya research za kutibu cancer au?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huyu binti anapotezewa muda.
I give him a time from tomorrow I m not going to search him in that point najua nitapata majibu yalio kamili kama ananipenda atanitafuta tena and if ikiwa forever bac alikuwa ana ni test.Acha kumpotosha! mimi ni Me pia na nina tabia hiyohiyo.
Kuna wakati natongoza mwanamke yeyote aliyejichanganya just because m a man and m single na akishakubali naanza vitibwi vya aina hiyo. It always doesn't end well hasa kwa Ke.
Mimi namshauri awe makini asije potezewa muda na maumivu juu.
Ushauri ni kwamba hakupendi kiihvyo na ukiwa wapiga simu unamboaHuyu kaka tangu ani approach simwelewi. Alionyesha hisia za kunipenda na Mimi nikavutika naye.
Tumeanzisha mahusiano lakini swala la mawasiliano limekuwa changamoto. Amenambia nimtafute usiku tu anakuwa busy sana na kazi Mara nyingi nikimpigia simu hapokei nikimtext hajibu Ila kuna muda nakut call waiting nahisi kuchoka.
Natamani mda mwingi tuwe tunawasiliana awe ananipa faraja nione na upendo wake pia yani nampigia simu hadi basi lakini hapokei ukija kumuuliza uo usiku mnapoongea anasema alikuwa busy sana na kazi za ofisi.
Ushauri wenu nampenda sana changamoto sipati mawasiliano kutoka kwake.
Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
umeona eeh,mie nimekuelewa hapo juuAmbacho Ujaelewa jamaa kasema ikifika usiku anamtafuta, tatzo liko wapi Apo?
Yeah! Ni muhimu.Cha muhimu achunguze
Mfano mzur ni Mimi mwnyw,Aisee..kumbe unaweza pendwa na kusiwe na mahaba
Na kuna mahaba ila si kupendwa[emoji848]
Wanaume nyiee
Unataka kusema kazini alipo hakuna hata muda wa chai au lunch? Au kula ni muhimu kuliko kujibu sms au missed call za mpenzi mpya?Ambacho Ujaelewa jamaa kasema ikifika usiku anamtafuta, tatzo liko wapi Apo?
Ananiumiza ujue naimiss sauti yake siipati simu zangu hapokei naweza mpigia even ten times kwa mida ya Asubuhi na jioni hapokei lakini mida ya usiku chap anapokea tunaongea but napo hatuongei sana!!!! Mi napenda kutext kuliko kuongea sasa ukimtext even huo usiku still ha reply better umpigie mtaongea au anaweza sema nakupigia alafu hapigi ananichosha natamani nianzishe mahusiano mengine.
Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
Ananiumiza ujue naimiss sauti yake siipati simu zangu hapokei naweza mpigia even ten times kwa mida ya Asubuhi na jioni hapokei lakini mida ya usiku chap anapokea tunaongea but napo hatuongei sana!!!! Mi napenda kutext kuliko kuongea sasa ukimtext even huo usiku still ha reply better umpigie mtaongea au anaweza sema nakupigia alafu hapigi ananichosha natamani nianzishe mahusiano mengine.
Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
Mimi Mbona Nakupigia Zaidi Ya Mara 20 Wala Hata Kwapa Langu Huna.Unampigia simu mtu mara kumi,ana figo yako??[emoji15][emoji15]
Mimi Mbona Nakupigia Zaidi Ya Mara 20 Wala Hata Kwapa Langu Huna.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi Mbona Nakupigia Zaidi Ya Mara 20 Wala Hata Kwapa Langu Huna.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo uniseme mbele za watu??[emoji849][emoji849]
Genye zinamsumbua.Liverpool VPN ni wewe anakupigia hupokei?
Mara ya mwisho kupimwa akili ilikuwa lini na una miaka mingapi? Tuanzie hapa kwanza.Huyu kaka tangu ani approach simwelewi. Alionyesha hisia za kunipenda na Mimi nikavutika naye.
Tumeanzisha mahusiano lakini swala la mawasiliano limekuwa changamoto. Amenambia nimtafute usiku tu anakuwa busy sana na kazi Mara nyingi nikimpigia simu hapokei nikimtext hajibu Ila kuna muda nakut call waiting nahisi kuchoka.
Natamani mda mwingi tuwe tunawasiliana awe ananipa faraja nione na upendo wake pia yani nampigia simu hadi basi lakini hapokei ukija kumuuliza uo usiku mnapoongea anasema alikuwa busy sana na kazi za ofisi.
Ushauri wenu nampenda sana changamoto sipati mawasiliano kutoka kwake.
Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
Ananiumiza ujue naimiss sauti yake siipati simu zangu hapokei naweza mpigia even ten times kwa mida ya Asubuhi na jioni hapokei lakini mida ya usiku chap anapokea tunaongea but napo hatuongei sana!!!! Mi napenda kutext kuliko kuongea sasa ukimtext even huo usiku still ha reply better umpigie mtaongea au anaweza sema nakupigia alafu hapigi ananichosha natamani nianzishe mahusiano mengine.
Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
Mimi nimemwambia ukweli, na huo ndo ukweli kwa wanaume wote, hamna cha kutaka kuwa peke yako wala cha u busy, hata kama unafanya kazi bank, wakati wakula hata ka sms kamoja utatuma, kama mnyanyua zege ndo kabisa utatafuta upenyo uskie sauti ya mrembo.
Hizo mambo za kua eti sim mda wote sjui nini na nini hujapenda.
Hembu msome dada umuelewe.
-usiku mda alosema ndo apigiwe na dada yetu, jamaa anaongea kidogo anaaga.
-lakini mara nyingi dada anakuta sim yake iko busy jamaa anaongea na sim nyingine.
-tena kuna mda anamwambia nakupigia nakupigia ndo imetoka hiyo.
-sms mchizi hataki kujibu.
Kwa mwanaume aliependa anamwita mchumba na kumuelekeza mazingira ya kazi vizuri, lakini pia akiwa free mdada ataona bashasha za jamaa kwa mapenzi ya kweli yalomjaa, lazima awe na ham ya kuongea nae.
Mapenzi hayafichiki jamani.
Sina nia ya kumuumiza bibie, ila mimi nataka apone, atoe hilo jino bovu ambalo kila mda anajigonga linamuumiza, bora abaki na pengo awe huru, kama jino litaota jipya mbele ya safar.
Sent from my itel P32 using JamiiForums mobile app
Mkuu mimi ni me, ila najua unacho jaribu kumaanisha hapo, ila ukweli ndo huo,utakuta kuna sehem huyo jamaa, anapiga sim kila saa,anachat mpaka basi, ila kwa dada yetu ndo anajifanya kua mzito, mkuu njia kuu lazima mwanaume awe makini nayo hatakama ana mchepuko, ahsante.
Sent from my itel P32 using JamiiForums mobile app