Nampenda lakini ananiweka kwenye u ‘friend zone’

Mkuu kuanzia leo naomba unipatie hiyo badge yako ya u platinum maana hauitendei haki kabisa😎

Yaani demu wa elf 2 anakupiga chenga kabisa? Utakuwa ni domo zege la kutupwa kabisa mkuu
Njoo kigamboni anko
 
Muda huo kuna muuni anapiga simu moja tu anaenda kupigilia misumari kwenye matobo yote aliyonayo wewe unataka mambo ya kuja akufie ghetto, kua makini kijana
 
Kuna vitu gani unaona dododogo anavyo, huvipati kwa huyo shangazi?
Chivundu BICHWA KOMWE - namuelewa mtoa mada, unakuta binti wa elf 2 ana mwili mdogo, makalio makubwa yamechomoza yenye shep nzuri, kiuno nyigu, chuchu saa 6 ukijumlisha na ule udogo udogo...si ajabu binti wa mtoa mada Hana hata miaka 22

Mwanaume utatamani ukope songesha ili uhonge icho kibinti..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…