Nampenda MADAM B. Napenda awe mke wangu

Nampenda MADAM B. Napenda awe mke wangu

Najua kwanini wasema hvo.
Ila ndo basi tena CHAI CHUNGU.
Hivi nn kimekuzuzua mpaka umechizi namna hii?
Alafu hivi unajua yeye ni commandoo wa nini?au unapalamia tu?
Uliza tukwambie,chezeya digital style weye!
Si unaona watu walivyokimbilia ving'amuzi vya startimes?sasa wanalia!!
 
Last edited by a moderator:
Nampenda Madamu B naitaji kujua je ni msichana, na kama msichana je kaolewa, kiukweli nimevutiwa sana na coment zake post na jokes nyingi ambozo zilitengeneza isia za mapenzi juu yake mara nyingi natembelea jukwaa ili la MMU Ingawa sio mchangiaji saanaa, panapotokea ushauri natoa (lejea mada) kama ni Msichana na aujaolewa basi naomba nafasi japo ni fungue ukurasa mpya wa mapenzi nawe, na punde nitakapolejea Tz tuendelee next stage. kifupi makazi yangu yapo Monduri Arusha.. Niko china commando training course toka mwishoni wa mwaka wa jana nitapendeza univishe taji soon mwaka 2014 pale Ngerengere morogoro baada ya mafunzo ya miaka mingi ya ukomando na kuwa komando kamili nikimaliza salama mwakani na kupata nishani hiyo niliyoitafuta kwa muda mrefu cheo changu ni Luteni soon nitakua captan ukweli ni wakati sahihi wa mimi kuwa na familia sasa. Madam B plz ni PM kweli naomba nafasi tuanzishe familia nzuri yenye amani na upendo wa dhati ili tusonge mbele kimaisha ingawa napenda sana mke ambaye sio mwanasiasa na kama mwanasiasa basi awe mpinzani nakupenda Madam B. "Maisha yanawezekana ukiwa na Nia' ni PM kwa ukwel zaidi.
kiplagati26 naomba tusizoeane...... Eti 'Nampenda awe mke wangu,eti Hisia za mapenzi'.jiangalie sana!

Kama unapenda ufaidi matunda ya kazi na mafunzo yote hayo basi achana na Madame B kabisa na ondoa hilo wazo kichwani.FUTA KABISA HILO WAZO

Ameolewa,unadhani hiyo B kwenye jina lake inasimama badala ya nini unadhani 'Beatrice au Brenda'?

Get lost!
 
kiplagati26 naomba tusizoeana......

Kama unapenda ufaidi matunda ya kazi na mafunzo yote hayo basi achana na Madame B kabisa na ondoa hilo wazo kichwani.FUTA KABISA HILO WAZO

Ameolewa,unadhani hiyo B kwenye jina lake inasimama badala ya nini unadhani 'Beatrice au Brenda'?

Get lost!

Ahahahahaa..Hapa naona kazi ipo
 
Last edited by a moderator:
Shoga yangu, rafiki yangu na Kipenzi changu Evelyn Salt,
Nitakumiss sana kule jukwaa letu.
Nadhani Mwaka 2012-2013 ni mwaka wangu kwa Wajeda.
Ila ngoja niangalie na bahati hii.
Yule hakupenda ninavochati na nyie.
Ila tuko pamoja.
Madame B

Futa kauli zako hizi........Futaaa!
 
Last edited by a moderator:
Wewe Madame B shemeji yangu , una zampi wewe, embu angalia umewakalisha watu 90 kidogo wakikodolea macho hii thread, wameacha kazi zao ujue!!
 
Last edited by a moderator:
ben! ben! Ben Saanane! some guys wanataka kukupeperushia njiwa wako..
kiwatengu,asante sana kwa kunishtua nilikua kwenye vikao vya siasa na jana sikulala home nilikua na Evelyn Salt shemeji yangu wa ukweli akinipa maushauri.Yani huyu ni pro....

Halafu huyo mjeda anacheza na hisia zangu,nimempa onyo mara moja kwa tamko kali.Atakiona.Asicheze na hisia zangu kabisa
 
Last edited by a moderator:
kiplagati26 naomba tusizoeane...... Eti 'Nampenda awe mke wangu,eti Hisia za mapenzi'.jiangalie sana!

Kama unapenda ufaidi matunda ya kazi na mafunzo yote hayo basi achana na Madame B kabisa na ondoa hilo wazo kichwani.FUTA KABISA HILO WAZO

Ameolewa,unadhani hiyo B kwenye jina lake inasimama badala ya nini unadhani 'Beatrice au Brenda'?

Get lost!
Ahahahah..Naona makomando mnataka kutoana ngeu.Hii kitu kweli hatareeee
 
Madame B

Futa kauli zako hizi........Futaaa!

Ben Saanane unatangaza viata kubwa sana, hutaweza kaka kupigana. Naomba nikupe sifa nne tu za monduli
1.kule ndiko kuliko cha TMA--tanzania millitary academy, yaani mwanajeshi ukihitimu pale wewe ni askari full pale ndio ndoto ya kila mwanajeshi
2.Kule ndipo kulikona kikubwa chuo cha mizinga hapa tz
3. kule pia kuna kambi ya jkt
4.kule kupishana na wanyama wakali km simba, chui ni kawaida sana

Yote hayo namaanisha jinsi ilivyo kwamba huko ndipo chimbo la ujasiri...............tahadhari..........dont try at home, at school or anywhere
 
Mkuu KakaKiiza mbona sasa unatoboa siri?? we unadhani huyu commando kiplagati26 amechanganyikiwa hadi kum-please Madame B?? hayo ni matokeo ya kazi nzuri ya kamati ya ufundi ambayo wewe binafsi ulishiriki kikamilifu kumtafutia na hatimaye kumpeleka.:yo::yo::yo:
Ila sijui upopo ataacha??akikumbuka jukwaa utamkuta leo tuko hapa pub!!
 
kiwatengu,asante sana kwa kunishtua nilikua kwenye vikao vya siasa na jana sikulala home nilikua na Evelyn Salt shemeji yangu wa ukweli akinipa maushauri.Yani huyu ni pro....

Halafu huyo mjeda anacheza na hisia zangu,nimempa onyo mara moja kwa tamko kali.Atakiona.Asicheze na hisia zangu kabisa
Sasa Madame B umeamua kuupangua u first lady kutoka kwa Ben Saanane??au ndo umeamua kutoka na kombati?
 
Last edited by a moderator:
Mmmmh..Hapa mjasiriamali natengeneza chapaa kabisa.Kuna opportunity ya kuanzisha mpambano mkali sana kati ya Komando BEN na Komando KIPLAGATI26.Wadau mtapendekeza kiingilio.Mkuu CHAI CHUNGU naona amekubali tu matokeo liwalo na liwe.Twende kazi sasa.Ahahahhahah..!
 
Ben Saanane unatangaza viata kubwa sana, hutaweza kaka kupigana. Naomba nikupe sifa nne tu za monduli
1.kule ndiko kuliko cha TMA--tanzania millitary academy, yaani mwanajeshi ukihitimu pale wewe ni askari full pale ndio ndoto ya kila mwanajeshi
2.Kule ndipo kulikona kikubwa chuo cha mizinga hapa tz
3. kule pia kuna kambi ya jkt
4.kule kupishana na wanyama wakali km simba, chui ni kawaida sana

Yote hayo namaanisha jinsi ilivyo kwamba huko ndipo chimbo la ujasiri...............tahadhari..........dont try at home, at school or anywhere

Huko kote nimepita nikamalizia traing Guatemala kwenye special forces kabla sijaingia Hellenic Millitary Academy....

Kwanza huyu jama ni best yake Chimbuvu.Sijui tangu lini hapo Kona Bar pamekua China.....
 
Last edited by a moderator:
Sasa Madame B ulikuwa unanisumbua sumbua sas huyo ndege tunduni!!zile habari zako nikupeleke kwa mganga wa mapenzi!ulikuwa umeisha nichosha kilasiku ila nilikuwa naona soo kukwambia maana kila ukiona kibao mganga wakienyeji kutoka sumbawangu,nigeri ulikuwa ukitaka kujua habari zake!!Sasa utapumzika kuwa Popo tuachie upopo mimi na Paloma, amu, Zion Daughter, Vin Diesel Kipaji Halisi, figganigga, gfsonwin>>>>BTW ntakumisi kwenye baa zetu za usiku mwingi Paloma ongeza uzito tutammiss sana maana komando akikustukia anakuvunja mbafu!!:rockon::rockon::rockon::rockon:

eeh..eh...yaani hadi Zion Daughter anaenda kwa sangoma......mungu wangu,Aunt Kongosho hebu njoo umtetee mwanao,hivi mama yake mwaJ anajua haya???
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom