Nampenda ‘Seran’ ila nahisi kashachukuliwa na mwana JF fulani hivi?

Status
Not open for further replies.
Acha uoga, pambana hadi kieleweke. Hakuna alozaliwa na mtu🤣
 
Eh mambo ya kuua mtu kisa nyapu ya mtu mwngn nalo n ungese
 
Ndio ushangae sasa! Ukijifanya wa zamani wanakupiga chini😆 mtu anakupa siku chache tu ukiwa unajivuta anapiga chini🫢
Bora kwenda nao sambamba! Siku hiyohiyo sitaki au nataka!
Mambo chaaap kwa haraka kama sayansi na teknolojia, kisha tukafanye mengine ya msingi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…