Hii ndio.maana halisi ya kuwa mfano kwa watoto ..sio mzazi anapesa kutwa kutishia watoto hizi sio zenu tafuteni zenu..mzazi anagari hataki kabisa mwanae aizoee.. na hii ndio sababu kila generation inakuja na kitu kipya na ni.mara chache kuvuka boda kwenda gen nyingine sababu ya ubinafsi wa wazazi wa kiafrika..mzazi kumfata mwanae na gari shuleni anaona kama atamlemaza mwaza hawazi kwamba anampa motisha ya kupamabana kwa mfano halisi..mzazi anampa mwanae msoto wa maisha kama aloopitia yeye eti anamfundisha maisha..