Nampongeza mzazi aliyemfuata mtoto wake shule na HELIKOPTA. Ni matumizi sahihi ya Utajiri

Nampongeza mzazi aliyemfuata mtoto wake shule na HELIKOPTA. Ni matumizi sahihi ya Utajiri

Miaka ya 70 kuna jamaa huko kwenu alitoa Kali ya mwaka. Watu walikuwa wanakodi taxi kutoka Bukoba hadi Kiziba, yeye akaamua Kukodi kubwa ya taxi. Akakodi basi
Kama linakodishwa haina tatizo, na hajavunja Sheria. Ni matumizi halali ya anachokipata
 
Mimi nimekaa Kagera naifahamu sana,sijui mngekuwa kama wakinga au wachaga ingekuwaje.Kule hata hosptal zenyewe ni shida.Mnaweza kubeba maiti km hata saba barabara hamna.Halafu unasema ni kazi ya serikali ila sherehe mnazofanya za mililion 80 ni serikali.Hapa kanda ya ziwa hata Mkurya kawaacha mbali sana kwa sasa.Tulieni muendeleze kwenu acheni mbwembwe
Malalamiko ya Serikali USIMPE mtu binafsi na matumizi yake baada ya KUWA ameshalipa Kodi ya maendeleo. Moshi ni matokeo ya poor allocation ya Kodi za kitaifa . Hospitali na mabarabara Bora yamejengwa KWA Kodi ambazo zingejenga na Bukoba, Tarime na Mtwara.
Hii haina uhusiano na mtanzania kutumia kipato chake halali popote anapotaka sio lazima anakotokea.
 
Nampongeza KWA matumizi Bora ya Pesa.
Sio mtu anang'ombe 2000 lakini mtoto anakufa KWA Kwashakoo. inatakiwa Serikali izitaifishe hizo ng'ombe maana utajiri uko kwenye mikono hatarishi KWA usalama wa raia ( watoto wa Tajiri).

Kuongeza sio kushabikia
Ponda mali kufa kwaja.
 
Haikuwa kweli.
Nilimsikia mkuu wa shule, aliongea na Clouds, na hakuna mamlaka zozote zilizotoa kibali helcopter kutua shuleni.
Pale hapakuwa shuleni pale ni viwanja vya kwanza ambapo watoto wanapokewa baada ya kuletwa na mabasi ya shule ya Kaizerege.
 
Pale hapakuwa shuleni pale ni viwanja vya kwanza ambapo watoto wanapokewa baada ya kuletwa na mabasi ya shule ya Kaizerege.
Nilimsikia mwalimu mkuu akihojiwa na Clouds, akasema si kweli hakuna ndege wala roketi iliyowasili.
 
Hakuna cha ajabu hapo toka tunasoma Kuna waliokuwa wanafuatwa kwa magari, wengine wazazi wanakuja lkn hawana gari, wengine wanajipambania wenyewe,

Yote khery kikubwa kajua kujali kama mzazi.
Kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake, ama siyo mkuu?
 
Back
Top Bottom