Tumia pesa, maana hutozikwa nazoNimeona video moja, mzazi ametuma HELIKOPTA kwenda kuchukua mtoto mwanafunzi shuleni huko bukoba baada ya shule kufungwa.
Jamaa simfahamu ila nampa pongezi sana maana ndio matumizi halali ya Pesa .
Huwezi KUWA na pesa mingi alafu uzao wako unaishi kifukara KWA hofu kwamba watabweteka kimaisha. Huu mtazamo anao Billionea Wallen Buffet. Watoto wake hawaenjoy utajiri wake.
Kama unapesa nyingi, KWA nini utumie masaa 10 unasafiri wakati watu wamshabuni vyombo vya moto ya angani KWA DAKIKA tu?
Jamaa nimemkubali sana.
Abarikiwe zaidi na watokee wengi nchini ili kuwapa challenge MATAJIRI wenye fikra za kijima na kimasikini.
Ni hilo tu
Ubwege tuu,kula maisha,hata Ukifa wakukumbuke!Hii ndio.maana halisi ya kuwa mfano kwa watoto ..sio mzazi anapesa kutwa kutishia watoto hizi sio zenu tafuteni zenu..mzazi anagari hataki kabisa mwanae aizoee.. na hii ndio sababu kila generation inakuja na kitu kipya na ni.mara chache kuvuka boda kwenda gen nyingine sababu ya ubinafsi wa wazazi wa kiafrika..mzazi kumfata mwanae na gari shuleni anaona kama atamlemaza mwaza hawazi kwamba anampa motisha ya kupamabana kwa mfano halisi..mzazi anampa mwanae msoto wa maisha kama aloopitia yeye eti anamfundisha maisha..
Kabisa mkuuU
Ubwege tuu,kula maisha,hata Ukifa wakukumbuke!
Maisha yanaliwajeKabisa mkuu
Hiyo ambayo watu hawajui kujishangaa haitoshi hahahaCHAUMMA tunahitaji hio helkopta
Shomile faida yao huwa hawana sound. Wanajivunia vitu ambavyo vipo na vibaonyesheka.HYO KAWAIDA KWA KINA NSHOMILE..WANGAMBILA STUPID MBELE YA MY WIFE...NIMESOMA MPAKA NA MBWA WANGU AMESOMA....JAMAA KAONESHA MATUMIZI YA PESA.
Mlokozi Yuko vizuri. Namuombea maisha marefu na afike mbali.Lazima atakuwa ni mlokozi kama promise ya mwanae kama atafanya vizuri
kweli kabisaShomile faida yao huwa hawana sound. Wanajivunia vitu ambavyo vipo na vibaonyesheka.
Barabara zinajengwa na Serikali sio wahaya mkuu. Kodi zetu zinatakiwa kuwafikia huko.Huwa nacheka nikiona mbwembwe za wahaya mjini na kwenye sherehe na makazini.Mkoa wa Kagera una umaskini wa kutisha huko vijijini,hali ni mbaya sana.Yaani kuna vijiji mkienda hata barabara havina na vingine vimewekewa zile tv za msaada sehemu ambazo zina mkusanyiko,huo ni msaada wa mbunge.Hatari sana wahaya ni shidah!!
Hayana formula. ..unaweza ona mwenzio ni muharibifu wa pesa kwa namna anavyoitumia lakini ndo anakula maisha ivyo ila ww ukimtazama kwa jicho la Kimaskini utamuona anafuja..Maisha yanaliwaje
Miaka ya 70 kuna jamaa huko kwenu alitoa Kali ya mwaka. Watu walikuwa wanakodi taxi kutoka Bukoba hadi Kiziba, yeye akaamua Kukodi kubwa ya taxi. Akakodi basiNimeona video moja, mzazi ametuma HELIKOPTA kwenda kuchukua mtoto mwanafunzi shuleni huko bukoba baada ya shule kufungwa.
Jamaa simfahamu ila nampa pongezi sana maana ndio matumizi halali ya Pesa .
Huwezi KUWA na pesa mingi alafu uzao wako unaishi kifukara KWA hofu kwamba watabweteka kimaisha. Huu mtazamo anao Billionea Wallen Buffet. Watoto wake hawaenjoy utajiri wake.
Kama unapesa nyingi, KWA nini utumie masaa 10 unasafiri wakati watu wamshabuni vyombo vya moto ya angani KWA DAKIKA tu?
Jamaa nimemkubali sana.
Abarikiwe zaidi na watokee wengi nchini ili kuwapa challenge MATAJIRI wenye fikra za kijima na kimasikini.
UPDATE
Kwa mujibu wa wadau ile habari haina ukweli ila maudhui ya habari yanapaswa kuzingatiwa. Ukiwa na Pesa zitumike kunufaisha familia kwanza. Usijibane kupanda bus wakati ungenunua Ndege na pesa unazo.
Ni hilo tu
Mimi nimekaa Kagera naifahamu sana,sijui mngekuwa kama wakinga au wachaga ingekuwaje.Kule hata hosptal zenyewe ni shida.Mnaweza kubeba maiti km hata saba barabara hamna.Halafu unasema ni kazi ya serikali ila sherehe mnazofanya za mililion 80 ni serikali.Hapa kanda ya ziwa hata Mkurya kawaacha mbali sana kwa sasa.Tulieni muendeleze kwenu acheni mbwembweBarabara zinajengwa na Serikali sio wahaya mkuu. Kodi zetu zinatakiwa kuwafikia huko.
Ila shomile aloyefanikiwa atajisifia vitu vinavyoonekana ndio maana huwa inawatesa wengi ambao ni waongowaongo.
Mtu kama unapesa nunua Private Jet, uinjoy wewe na watoto. Kuhusu maintenance au operations cost na mishahara ya madereva (pilots hata ilibidi wazungu kuongeza umakini) weka mifumo ya kuisimamia hilo.
Sasa nimekuelewa vizuri. nimeelewa kwamba ukitumia hela bila kujali ndio kula maisha. asante sana kwa kunielewesha. swali la mwisho natakiwa kutumia sh ngapi kwa wastani ili niingie kwenye group la kula maisha.Hayana formula. ..unaweza ona mwenzio ni muharibifu wa pesa kwa namna anavyoitumia lakini ndo anakula maisha ivyo ila ww ukimtazama kwa jicho la Kimaskini utamuona anafuja..
Siishi mfukoni kwako kujua kipato chako umaskini bado unakutesa tafuta hela unchecked kuuliza maswali ya kindeziSasa nimekuelewa vizuri. nimeelewa kwamba ukitumia hela bila kujali ndio kula maisha. asante sana kwa kunielewesha. swali la mwisho natakiwa kutumia sh ngapi kwa wastani ili niingie kwenye group la kula maisha.