njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,820
- 9,625
Akishapata hela kwenye mihogo yake huyoooo kusaka vijambio vya wenzake mtoto mshenzi yule
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Embu elezea kidg hapa tafadhali 😄Akishapata hela kwenye mihogo yake huyoooo kusaka vijambio vya wenzake mtoto mshenzi yule
Sema kabichi lao la kibabe sana aiseee wanalileta bichi hivyo hivyo tutafune kama sungura 😄Mara nyingi hua naenda kula mihogo na Samaki hapo Coco huku nikiburudishwa na nyimbo za wale vijana, siku hiyo nikasema nikapaangalie hapo kwa Aslay Mihogo, dogo amejua kujibrand ila hakuna tofauti yoyote na wafanyabiashara wenzake wa hapo Coco
😂😂😂😂Ntakupigiaaaa naogaaa nna povu usoni sioni button
Umenivunja mbavuu mkuu😂😂😂Akishapata hela kwenye mihogo yake huyoooo kusaka vijambio vya wenzake mtoto mshenzi yule
Hivi mnajua maana ya neno ''ubunifu''? Samaki kama hawa na mihogo tumekuwa tunakula miaka zaidi ya 20 iliyopita. Kinondoni kuna chochoro nyingi tu watu walikuwa wanakaanga jioni na kachumbari nzuri sana. Social media ndiyo inakufanya udhani ni kitu kipya?Last week nilipita pale nikapata zangu Samaki na Mihogo swaaaafi kabisa. Hio ni baada ya kuona matangazo mbali mbali instagram kuhusu Aslay Mihogo
Vijana kuweni wabunifu, huyu anakuchanganyia Samaki na Mihogo hadi unajiramba ramba.
Basi aje mrembo mmoja PM kesho niende nae tena
Ohooo, humjui vizuri yule dogo eenh upande wake wa pili ni balaa kwa kifupi habagui hachagui hana tundu maalum yule hana cha mwanamke wala mwanaume ni unisex yani wote kwake ni fursa🤕🤕Embu elezea kidg hapa tafadhali 😄
Ushaliwa wwOhooo, humjui vizuri yule dogo eenh upande wake wa pili ni balaa kwa kifupi habagui hachagui hana tundu maalum yule hana cha mwanamke wala mwanaume ni unisex yani wote kwake ni fursa🤕🤕
Hapana ila pale sikupapenda kabisaHujazoea beach za dar?
Wanafikisha ila kitafika kimepoaOooh! Asante sana, nataka hiyo chakula hawafikishi nitakapokuwepo?
Yoda vyakula vyako ni nini na nini?Ubunifu uko wapi hapo??
Mimi hunilishi Samaki na mihogo.
Wewe ni wewe , sisi ni sisi.Ubunifu uko wapi hapo??
Mimi hunilishi Samaki na mihogo.
Asante sanaWanafikisha ila kitafika kimepoa
Tuliletewa samaki wa mchuzi waka mpaka nikasema huyu samak anafufuka
Nakula vingi tu ila siwezi kwenda mahali pa kula bata nianze kula mihogo, ugali, maharage au dagaa. Ila combo ya mihogo na Samaki popote pale ni uzushi mtupu kwangu.Yoda vyakula vyako ni nini na nini?
Hiyo sio sehemu ya bata Yoda, ni ya kula tu. Hapo mi sijawahi enda.Nakula vingi tu ila siwezi kwenda mahali pa kula bata nianze kula mihogo, ugali, maharage au dagaa. Ila combo ya mihogo na Samaki popote pale ni uzushi mtupu kwangu.