Namshangaa huyu mwanamke wangu

Namshangaa huyu mwanamke wangu

Unachokitafuta utakipata Subiri upata Unaempenda na Asiekupenda utarudi kuleta Uzi humu wachangiaji tumekaa pale
 
Hapo shida ni ufupi na ukibonge,sasa wakati unamtongoza hukuyaona hayo?
Kama ulitaka kupiga tu,wenzako huwa hatusave hata namba..na unahakikisha ukimla unamlipa baada ya hapo hutamfuti tena,mwenyewe atajiongeza.
 
Hope mpo salama,

Niende straight kuhusu mwanamke ambaye niko naye kimahusiano.

Mwanamke huyu ananishangaza saana,

Kwanza nilishamwambia mimi sina mpango wa kumuoa wa kuoa karibuni coz siamini wanawake hivo ka ataona namchelewesha acheki na mtu mwingine, akasema sawa ila hawezi niacha.

Kilichofuata ni kutumia gharama zake kwangu, anajitoa saana ikiwa mimi sijitoi kihivyo, kiasi ya kwamba namuonea huruma saana kumwambia tuachane, japo ashakutana na condoms na wapambe washamwambia nna mwanamke mwingine akawajibu hana mda wakunifuatilia wala kujua chochote maana anaweza kuua mtu.

Kifupi simpendi ki ndoa kutokana na kabila lake na kupenda kwake ngono za kivita. Mfupi na chibonge.

Sasa sijui anampango gani na mimi namshangaa saana nisaidieni ndugu zangu
Akili yako haina akili.
 
Back
Top Bottom