Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Leo mahakamani Lissu ameonekana kakonda sana aisee. Nimejiuliza anachohangaikia ni kipi, anaacha kuungana na CCM kula pesa mpaka kifo chake, anasumbuka kupambania wajinga ambao wanamuona anateseka, wanaishia kukomenti "no reform no election" mtandaoni kama wanaangalia muvi.
Kinachonifurahisha ni kwamba nilichokiona leo, Lissu ameshaanza kuona anachokifanya ni ujinga. Natarajia akitoka ataacha kurisk maisha yake kisa wajinga ambao hawana msaada wowote akipata matatizo.
Tanzania ni mali ya CCM na hiki chama kitaongoza milele sababu kinaogopwa nashukuru mchakato wangu wa kubadili uraia umekamilika. Hivyo nimefurahi kutoka kwenye mdomo wa ccm ambapo hiki chama kupambana nacho ni kujipalia moto. Mnyonge acha afe sababu dunia hii ni ya wababe.