Namshauri Lissu akitoka aachane na siasa. Aungane na CCM ale pesa umri umeenda

Namshauri Lissu akitoka aachane na siasa. Aungane na CCM ale pesa umri umeenda

Hakika Mkuu wajinga wanabidi kuacha wafe Ila kuiba pesa haifai
Pesa aibe sababu ametiwa ukilema kisa kupambania wajinga Kuna watu hawana ukilema huko ccm na wanakula maisha Kwa kuibia wajinga mfano samia na jopo lake Bora hizo pesa ale lissu
 
Mwanzo was like jocking ila sasa ameona ni serious lazima apungue
 
Leo mahakamani lissu ameonekana kakonda sana aisee nimejiuliza anachohangaikia ni kipi anaacha kuungana na ccm kula pesa mpaka kifo chake anasumbuka kupambania wajinga ambao wanamuona wanateseka wanaishia kukomenti mtandaoni kwamba wanahuzunika hahaha nilichokiona Leo lissu ameshaanza kuona anachokifanya ni ujinga na natarajia akitoka ataacha kurisk maisha yake kisa wajinga tanzania ni Mali ya ccm na hiki chama kitaongoza milele sababu kinaogopwa hivyo kupambana nacho ni kujipalia moto mnyinge acha afe sababu dunia hii ni ya wababe
Hivi nani alimtuma Lissu atupambanie? Au tulikaa naye lini tukakubaliana atupambanie?volunti non fit injuria
 
Wapigania uhuru Huwa hawachoki.Hata kipindi tunapigania uhuru na wa kina Nyerere,walikuwepo watu wa mawazo kama Yako ya kuwakatisha tamaa wapigania uhuru lakini hawakukata tamaa
 
Leo mahakamani Lissu ameonekana kakonda sana aisee nimejiuliza anachohangaikia ni kipi anaacha kuungana na CCM kula pesa mpaka kifo chake anasumbuka kupambania wajinga ambao wanamuona wanateseka wanaishia kukomenti mtandaoni kwamba wanahuzunika hahaha nilichokiona leo Lissu ameshaanza kuona anachokifanya ni ujinga na natarajia akitoka ataacha kurisk maisha yake kisa wajinga tanzania ni Mali ya CCM na hiki chama kitaongoza milele sababu kinaogopwa hivyo kupambana nacho ni kujipalia moto mnyinge acha afe sababu dunia hii ni ya wababe
kwa akili yako uanfikiri pesa ndiyo mwanzo na mwisho wa wewe kuwapo duniani?
 
Leo mahakamani Lissu ameonekana kakonda sana aisee nimejiuliza anachohangaikia ni kipi anaacha kuungana na CCM kula pesa mpaka kifo chake anasumbuka kupambania wajinga ambao wanamuona wanateseka wanaishia kukomenti mtandaoni kwamba wanahuzunika hahaha nilichokiona leo Lissu ameshaanza kuona anachokifanya ni ujinga na natarajia akitoka ataacha kurisk maisha yake kisa wajinga tanzania ni Mali ya CCM na hiki chama kitaongoza milele sababu kinaogopwa hivyo kupambana nacho ni kujipalia moto mnyinge acha afe sababu dunia hii ni ya wababe
Bendera ya nchi ina rangi moja ndio imetawala rangi zote.. tukae kwa kutulia la sivyo tubadili rangi ya bendera
 
Kumuelewa TL inabidi urejee kauli yake kuwa yeye anafanya siasa za ukombozi na sio siasa za udalali.
Ukombozi maana yake ni ule uchungu wa wajinga sisi tunaodhurumiwa na wajinga wengine wanaodhurumu.
TL anapigania ustaarabu ambao ndio daraja la hawa wajinga wa pande mbili. Watu wenye kuelewa haya huwa ni wachache sana na ndio maana wengi wetu hatumuelewi!
Yeye mtazamo wake ni tofauti na G55 njaa amao unapiga kelele ili kuongeza ukubwa wa dau
 
Anyway, kongole kwa CCM 'kujihakikishia' 'kuimiliki' 'TZ' 'milele'
 
Wapigania uhuru Huwa hawachoki.Hata kipindi tunapigania uhuru na wa kina Nyerere,walikuwepo watu wa mawazo kama Yako ya kuwakatisha tamaa wapigania uhuru lakini hawakukata tamaa
Katika wajinga anaowapigania lissu ni wewe mpaka Leo unamuona Nyerere ni mtu wa maana kumbe ndio mshenzi namba Moja kazi ipo
 
Kumuelewa TL inabidi urejee kauli yake kuwwa yeye anafanya siasa a ukombozi na sio siasa za udalali.
Ukombozi maana yake ni ule uchunu wa wajinga sisi tunaodhurumiwa na wajinga wengine wanaodhurumu.
TL anapigania ustaarabu ambao ndio daraja la hawa wajinga wa pande mbili. Watu wenye kuelewa haya huwa ni wachache sana na ndio maana wengi wetu hatuwaelewi!
Ukombozi wa kuwakomboa wajinga ni kazi bure unakomboa watu ambao wanasema wako na uhuru na amani utakua huna akili
 
anapambania wajinga kama wewe ambao hutaki kuamini nje ya ccm ndio maana unamshauri aamini ki uoga kama wewe
Nenda kamtetee lissu sio unakalisha makalio humu kunandika mwenzio anahenya huku akiwa kilema
 
Back
Top Bottom