Hence concluded?Keyboard warrior bhana
Unahitaji ukombozi fikra tenge!
Hence concluded?Keyboard warrior bhana
Dunia ni ya wababe kweli. Ikiwa umefanikiwa kuikimbia nchi na kuchukua uraia huko haina shida. Ila usimshauri Lissu na wapigania haki Tanzania waache kisa CCM wamejipanga kutawala milele.Leo mahakamani Lissu ameonekana kakonda sana aisee. Nimejiuliza anachohangaikia ni kipi, anaacha kuungana na CCM kula pesa mpaka kifo chake, anasumbuka kupambania wajinga ambao wanamuona anateseka, wanaishia kukomenti "no reform no election" mtandaoni kama wanaangalia muvi.
Kinachonifurahisha ni kwamba nilichokiona leo, Lissu ameshaanza kuona anachokifanya ni ujinga. Natarajia akitoka ataacha kurisk maisha yake kisa wajinga ambao hawana msaada wowote akipata matatizo.
Tanzania ni mali ya CCM na hiki chama kitaongoza milele sababu kinaogopwa nashukuru mchakato wangu wa kubadili uraia umekamilika. Hivyo nimefurahi kutoka kwenye mdomo wa ccm ambapo hiki chama kupambana nacho ni kujipalia moto. Mnyonge acha afe sababu dunia hii ni ya wababe.
CCM itatolewa na CCM na si vinginevyo, pls adjust to this reality and u will be OKDunia ni ya wababe kweli. Ikiwa umefanikiwa kuikimbia nchi na kuchukua uraia huko haina shida. Ila usimshauri Lissu na wapigania haki Tanzania waache kisa CCM wamejipanga kutawala milele.
Mkuu nilivyoona unaongea suala la kunenepa nikajua ww ni wale mnaoishi ili mle. Yaani jamaa anapambania jambo serious, ww unaleta story zako za kunenepa?Usawa Gani upewe nchi inaongozwa kimamlaka tii mamlaka